Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila Afrika tuna shida mahali. Kwahio 2021-2026 miaka 5 zimejengwa 2000km only! Yaani 400km annually! Kwahio hela za El Nino ni kama bajeti ya barabara kwa mwaka!
hela za elnino zimeshakwenda na maji huku wanakwambia elnino ni jua kali 😆😆😆😆
machawa pia wameneemeka na hzo hela bila shaka
 
Usidogoshe hata kama una mpango wa kukosoa. barabra za TANROADS alizotaja hapo ni 13k km. Na nime comment kwene hiyo post mwandishi asahihishe namba alizoandika kwenye kichwa cha habari.
singapore ina ukubwa wa sq km 760 ya ni nusu ya dar ila wana mtandao wa barabara ya lami km 9500 wewe huogopi??😆😆😆
 
this comment is the exact kunyans 🤣🤣🤣
IMG_4455.jpeg
 
Leta tuone basi. 😂😂😂. Kuna mkenya mwenye ako na hela hata mmoja.? Ikiwa hao mazungu tu maloezi hapo kunya biashara zao zimewashinda wanawauzia waTz ndio mnuka mavi hapo ukinduni awe na hela ya kumiliki kampuni.? Labda udalali.
Kaka hiyo post uliyoreply mbona imefutwa! 😂😂😂
 
Back
Top Bottom