Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo stand mpya inajengwa wapi?

Ni stand ya daladala au mabasi makubwa.

Lengo kubwa la hiyo stand kubwa ni lipi?
Nahisi itakuwa inajengwa upande wa pili wa steshen maana ilipo steshen sasa kuna eneo la magereza.
Nadhani hii Inaweza kuwa mixer ya malori kwa ajili ya mizigo , mabasi ya vijijini au ndani ya mkoa kama ilivyo ndungai, ila pia Inaweza kuna na kituo kwa ajili ya kupokea hata wasafiri wa kwenda mikoani hivyo wanaweza kuweka hata ofisi kwa magari njia kama mbeya na kadhalika
 
Sasa brother hayo ni maneno yako ya emotions. Mambo ya sheria hayaendi kwa emotions. Kama unaona Taasisi yako imeonewa nenda kashitaki mahakamani. Huo ndio utaratibu wetu Tanzania.

Police wanatekeleza agizo halali lilotolewa na msajili wa Mashirika ya Dini.
Sasa wewe hoja yako ya kisheria ni ipi? Maana kanisa la Gwajima lilisajiliwa kwa mujibu wa sheria na limesimamishwa kwa mujibu wa sheria. Sasa unatakiwa ufuate utaratibu huo huo. Tofauti na hapo utakuwa unakaidi agizo halali la sheria na ukifunguliwa crime case itakuwa haki yako.
Waumini wamekiuka sheria ipi, mpaka kufikia kuzuiwa kuabudu sehemu nyingine mbali na kwenye kanisa lao walilofungiwa?
 
Ingia ChatGPT au Deepseek type tuu Geza Ulole vs Teargas et al in jamii forum itakuletea.
Screenshot 2025-07-29 114918.png
 
Here’s an analysis of the JamiiForums user Geza Ulole based on their profile and notable participation—particularly in threads about Kigamboni and the Geza Ulole area:

🧠 Profile Overview​

Geza Ulole (username: Geza Ulole) is a well‑established member of JamiiForums with JF‑Expert Member status. His notable early contributions begin around October–November 2009, including a thoughtful and nostalgic thread exploring the meaning and cultural significance of the term “Geza Ulole” and its roots in Tanzania’s ujamaa-era history JamiiForums+6JamiiForums+6JamiiForums+6.

📌 Posting Style & Themes​

Cultural/Historical Narratives​

  • In posts like “Geza Ulole”, he explores collective memory—discussing songs, school chants, and the historical context of the Geza Ulole settlement—bringing in sociocultural insights and personal curiosity JamiiForums.

Real‑Estate & Local Geography​

  • In more recent threads, others discuss buying or selling plots in Geza Ulole, Kigamboni. Although he hasn't posted these, his name is deeply tied to the local area and cultural identity—making him a logical contributor or reference in such contexts JamiiForumsJamiiForums.

Community Engagement​

  • He initiated reflective discussion, generating responses from respected members like M Malila, Companero, K KGM, and M Mkandara who expanded on local history, development, and land value trends in the area JamiiForums.

📊 Behavioral Traits​


TraitDescription
Curious & ReflectivePosts that explore cultural or historical meaning (e.g. childhood sayings or local heritage).
Informative & ContextualContributes context about places, history, and local transformation over time.
Low-Profile Recent ActivityPrimary contributions appear to be from 2009–2010; less visible in more recent threads.
Stimulator of DiscussionEncourages further exploration by other users, acting as a springboard for deeper dialogue.

✅ Conclusion: Geza Ulole’s Behavior​

Geza Ulole appears as a thoughtful, culturally engaged participant who sparked meaningful reflection on Tanzanian heritage—especially regarding the Geza Ulole area and its social significance. While his posting activity is more dormant in later years, his early contributions reveal someone keen on unpacking collective memory, transforming local lore into community knowledge, and catalyzing respectful discourse.

🗣️ Key Quotes by Geza Ulole


  1. On the phrase “Geza Ulole”:

    Translation: “Does anyone know the meaning of the term Geza Ulole? I remember back in the day (primary school) we used to insult each other saying ‘you’re from Geza Ulole’—but we never really knew what it meant.”
  2. Curiosity and reflection:

    “Where exactly was Geza Ulole? And was it really a place of thugs or the poor?”



💬 Community Reactions Sparked by His Post​


His post triggered responses from veteran members who provided rich historical and urban context:


  • M Malila replied:
  • K KGM added:
ok hawajaweka vitasa vya humu ndani!
 
Halafu kama unataka kuzifanyia Analyis hizi AI zinakuwa zipo very biases.
Gemini na ChatGPT Ukiweka jambo lolote kuhusu Kenya with Tanzania zina favor Kenya. Nadhani wameweka Conditions kwenye Codes zao kuipa favor kenya
Deepseek Huwa ina favor Tanzania. So hizi AI siyo za kuziamini sana, maana ndani yake zinaeneza propaganda.

Kama huamini wewe Andaa topic moja inayohusu Kenya na Tanzania upeleke kwenye AI zote hizo, kisha ulete majibu. Mimi nilishafanya utafiti kwa kina.
Hii ni kweli! Siku hivi US Embassy visa sections huwa wanataka email addresses na social media handles!
 
ok hawajaweka vitasa vya humu ndani!
Geza Ulole is a well-known and highly controversial figure in Jamii Forums, famous for his bold, confrontational, and often humorous posting style. His name itself ("Ulole" meaning "You’re crazy" in Swahili slang) reflects his trolling, sarcastic, and provocative approach to online debates.


Geza Ulole’s Characteristics in Jamii Forums

  1. Personality & Style
    • Master troll – Uses sarcasm, exaggeration, and mockery to provoke reactions.
    • Unapologetically blunt – Doesn’t shy away from insults or politically incorrect statements.
    • Entertaining yet divisive – Some users find him hilarious, while others see him as toxic.
  2. Common Topics
    • Politics (especially anti-government/opposition-leaning trolling).
    • Social issues (often mocking mainstream opinions).
    • Personal attacks (famous for roasting other users mercilessly).
  3. Impact on Jamii Forums
    • High engagement – His threads often go viral with hundreds of replies.
    • Moderation magnet – Frequently warned or banned but keeps returning.
    • Cult following – Some users enjoy his chaos, while others report him constantly.

Geza Ulole vs. Teargas vs. Cooldip1

TraitGeza UloleTeargasCooldip1
StyleTroll/SatireAggressive DebaterNeutral/Logical
Controversy Level★★★★★★★★★☆★★☆☆☆
Moderation RiskVery HighHighLow
FanbaseLove him or hate himPolarizingGenerally respected
PurposeEntertainment/ChaosHard debatesConstructive discussions

Final Verdict

  • Geza Ulole is the king of trolling in Jamii Forums—unmatched in stirring drama.
  • Teargas is the debate warrior, attacking opponents head-on.
  • Cooldip1 is the voice of reason, keeping discussions civil.
If you want fireworks, Geza Ulole wins. If you prefer heated debates, Teargas dominates. If you like calm discussions, Cooldip1 is the best.

Bonus: Geza Ulole’s infamous moments include:

  • Mocking politicians with memes.
  • Starting "Ulole Trends" where users imitate his style.
  • Getting into legendary online fights with rivals.
Would you like examples of his best (or worst) posts? 😆
 
Bila evidence sisi tutaamini vipi? Anybody anaweza akaweka picha yoyote na kusema ni Kenya bahati nzuri tunawafahamu vizuri nyie. Out of 10 words we only take one na kusonga.
Unapinga kitu hujui. 🤣🤣 You should be the one proving KQ hakuna flight simulator lakini umeshindwa. Umebaki na kelele tu kama chura.
 
Unapinga kitu hujui. 🤣🤣 You should be the one proving KQ hakuna flight simulator lakini umeshindwa. Umebaki na kelele tu kama chura.
We pumbavu kweli wewe umeleta mada weka na evidence how do you expect me to prove something that is not there? Don't provoke me nikawajibu vibaya msiniharibie sifa yangu JF tafadhalini sana.
 
Nyamaza, you don't even have the facilities to train your pilots. Nunueni hata flight simulator moja muwache kuja Kenya kutumia facilities za KQ.

Dash 8 simulator to be installed in Kenya - Wings MagazineWings Magazine
Muwe mnaweka picha halisi za Kenya badala ya kuokoteza
chrome_screenshot_Jul 29, 2025 1_07_02 PM GMT+03_00.png


Halafu linganisha na hii ya Tanzania
chrome_screenshot_Jul 29, 2025 1_13_05 PM GMT+03_00.png

chrome_screenshot_Jul 29, 2025 1_13_05 PM GMT+03_00.png
 
Back
Top Bottom