Kabla ya mwaka huu utakuwa umeanza.Kwani ule wa LNG umefika wapi? Ule wa mtwara.
Haya mambo siyo ya kukurupuka tu, kama enzi za Mkapa kugawa migodi kwa 3%.
Ni bora uchelewe lakini upate mkataba mzuri.
Kabla ya mwaka huu utakuwa umeanza.Kwani ule wa LNG umefika wapi? Ule wa mtwara.
Kidogo ifanane na Manispaa ya Mtwara MikindaniMombasa
![]()
Uganda wana visima vya mafuta?Zambia Watapata Mafuta directly kutoka Angola na baadae Namibia Kwa njia ya mabomba.
Sisi tutatoa wapi? Uganda wanajenga refinery tutanunua ya kwao Kwa bei nafuu kuliko ya kutoka huko Arabuni.
Uganda wana visima vya mafuta?
Kwani bomba linalojengwa kutoka Uganda ni kwa ajili ya niniUganda wana visima vya mafuta?
TZ kuna mafuta wapi?Uganda wanajenga kingfisher na tilenga visima vitakavyosukuma mafuta kuja Tanga sudani wana visima muda. DRC ndio bado hawajaanza kuchimba na Tanzania bado..
kwahiyo hujui kama Uganda wana visima vya mafuta?Uganda wana visima vya mafuta?
We vp? Hamna stand ambayoinasimama yenyewe lazma mchanganyiko wa daladala na mabasi ya mikoa uwepo! Hao wanaojenga ya pili wameona mahitaji!Ikikimilika iwe ya mkoa.
Msamvu iwe stand ya daladala au bustani ya wazi.
Unguja is way better.Mombasa
![]()
So unabisha hii. AI is correct in many spheres unless manipulated. But still reliable than Wikipedia. You can’t dispute everything. Facts still remain the same about the total size of Galana Kulalu , AI or not .Source AI tenaaa!?
We jamaa naanza kupatwa mashaka na akili yako sasa.
EACOP inajengwa kusafirisha nini? Na yanatoka Dubai au?Uganda wana visima vya mafuta?
Nilikua sifahamu mie kwa mawazo yangu nilidhani EACOP ni kwaajili ya kusafirisha mafuta yakishakuwa imported bandari ya Dar badala ya kutumia magari.EACOP inajengwa kusafirisha nini? Na yanatoka Dubai au?
Not true. AI can answer kulingana na prompt uliyoipatia. AI chat is almost 80% wrongSo unabisha hii. AI is correct in many spheres unless manipulated. But still reliable than Wikipedia. You can’t dispute everything. Facts still remain the same about the total size of Galana Kulalu , AI or not .
Tengenezeni faida ya kwanza ndio mfikirie hayo.Yaani Misri wana ndege 65 tuu na South Africa 20 Kenya 35? Tukijutahidi kuziongeza tunakua tishio Africa.
You killed it mkuu ✊Leta zilizokamilika sio maneno tu, tukisema tuletee project ambazo ziko katika ujenzi utakimbia . Mfano tu kuna project ya longpin plus Joseph kusaga ya uzalishaji wa soyabeans , hectare 53,000 ni more than 100,000 hizo zote ziko katika ujenzi na uaandaji Mashamba ila sisi hatuzileti maana bado kukamilika .
Ukienda nkasi kule kuna
Msipazi farm
Empien
Majinja farm
Hawa wote wanalima maelfu ya hectares na ni wazawa ila hatujishaui kama nyinyi acre 10,000 kelele mitandao yote
Nyinyi mnadhanj hizo tan 11mil zinatoka kwa kulima acre 5 kama Kenya🤣🤣🤣🤣