Mbona mlikuwa mnatusimanga sisi na twin towers zetu kumbe mnazipenda ilikuwa wivu tuu 🤣🤣🤣And there are more twin towers coming up around this area,it will be massive
Mbona mlikuwa mnatusimanga sisi na twin towers zetu kumbe mnazipenda ilikuwa wivu tuu 🤣🤣🤣And there are more twin towers coming up around this area,it will be massive
Watu ambao hata kuoga ni kwa manati unataka waanzeje kufikiria kuhusu kuosha gari moshi?😁😁
Mbona sioni tofauti? Tena ya Msamvu ina cladding! Labda parking area!Hii bus stand mpya ya Morogoro ni nzuri sana kuliko ya msamvu.
View attachment 3421356
GDP ya kuchovya ili kiinchi kionekane kina uwezo wa kukopa 😃Lakini wao wako proud kujipost kwenye mabati houses hizo GDP zao sijui zinawasaidia nini
The stadium is already sold out wewe bado unapanua midomo hapa.Dah hawa nyangau watatuaibisha kwenye hii CHAN facility hii bado kabisa haina standards za kutosha ku host CAF matches.
Msikilize rais wao achana na huyo kondoo. 😂😂😂
View: https://www.facebook.com/share/v/1MC9LTvA4U/?mibextid=wwXIfr
Hivi vinapita kwenye yale mahandaki?Waharakishe vichwa vya mabehewa ya gorofa vije fasta na the rest ya double decker coaches. Naona kuhusu hili wamekaa kimya sana sijui shida iko wapi.
Ikikimilika iwe ya mkoa.Hii bus stand mpya ya Morogoro ni nzuri sana kuliko ya msamvu.
View attachment 3421356
ukiwakuta online ni wameridhika!Dah hawa nyangau watatuaibisha kwenye hii CHAN facility hii bado kabisa haina standards za kutosha ku host CAF matches.
Leo nitaweka taarifa za umwagiliaji ili tuwazibe midomo hawa watoto.Kenya is a looser.
Tanzania tunajenga Dams kibao kwa pesa za ndani kupitia Tume ya Umwagiliaji, yaani wao kibwawa kimoja tena wamekodisha lakini kelele kibao.
Tume ya umwagiliaji video zao wanaonesha vikao tu na sura zao. Video zao hawaoneshi miradi iliyokamilika.Leo nitaweka taarifa za umwagiliaji ili tuwazibe midomo hawa watoto.