View attachment 3419912View attachment 3419913
Babu jinga nikuambie tu mimi america hata kesho nikitaka kuja nakuja,nina familia huko tena sio za kuunga unga uamerika wa green card,nilipokua huko nilikua naendesha van za cousin yangu na anamiliki trucks zaidi ya 10,hapo TZ babu yangu alishashika nyadhifa za namba 2,namba 3 na nyadhifa kibao,sema ndio wale wazee wa zamani awakua wezi serikali,ila walisambaza familia zao europe na america,fani yangu welder na aluminum window specialist,welder nimesomea sweden,kampuni ninayofanya inapiga kazi europe so america kwann mimi,hii july nilikua malta kwa siku 5 now nipo kwa neta hapa tunarekebisha majengo,mwezi na nusu nitakua hapa maku ww,na kila miezi 4 naenda bongo mimi sio mshamba wa america maku ww