Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah! Wanangu for first time mambo ya government yalinigusa kunako moyoni.

Nilikua na dharura Morogoro majuzi SGR hamna tiketi kabisa 2 days ahead, damn.

Niliishia kutumia siku nzima Barabarani Kisa malori tele.

Hakuna namna kweli waongeze vichwa vya treni maana hali si poa, 2 days ahead dah hata hiyo siku ya 3 unakuta ile mida strategic ipo booked wanakuachia mida tight.
 
Kuna demu black American alikuwa analia lia kwanini Tanzania hairuhusu uraia pacha, kwanini sheria za Tanzania mgeni ukianzisha kampuni lazima shareholder awe Mtanzania. 😂😂😂
Anamilika maelfu ya mahekari ya mashamba Kunyaland.
Kuna hii Sheria inawaumua sana wageni

Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty)​

Nimewahi kuwepo kwenye majadiliano ya kuhusu sheria hii kwenye wizara kadha wa kadha na katika utungaji wa kanuni.

Hii sheria ni nzuri sana. Unaweza kuipitia. Nitaziweka kanuni zake
 
Dah! Wanangu for first time mambo ya government yalinigusa kunako moyoni.

Nilikua na dharura Morogoro majuzi SGR hamna tiketi kabisa 2 days ahead, damn.

Niliishia kutumia siku nzima Barabarani Kisa malori tele.

Hakuna namna kweli waongeze vichwa vya treni maana hali si poa, 2 days ahead dah hata hiyo siku ya 3 unakuta ile mida strategic ipo booked wanakuachia mida tight.
Nahisi kwa Yale ya locomotive mabehewa hayatoshi maana yalikuwa 59 hapo Kuna mpaka lile la rais na lile la escort ya mizigo kwenye treni ya mizigo.
Kwa sasa zinazofanya kazi ni treni 3 , mbili zinaenda Dodoma kwa na moja ni Ile ya Moro dar , nadhani kuna reserve ya mabehewa kwa ajili matengenezo pale au kuyapa shift.
Mimi naona wabalansi muda tu zile treni tatu zipige trip nne kwa siku , yaan Kila treni iongezewe trip moja badala ya tatu za sasa hivi
 
Dah! Wanangu for first time mambo ya government yalinigusa kunako moyoni.

Nilikua na dharura Morogoro majuzi SGR hamna tiketi kabisa 2 days ahead, damn.

Niliishia kutumia siku nzima Barabarani Kisa malori tele.

Hakuna namna kweli waongeze vichwa vya treni maana hali si poa, 2 days ahead dah hata hiyo siku ya 3 unakuta ile mida strategic ipo booked wanakuachia mida tight.
Fikiria hata leo kutoka Dodoma mpaka kesho zimejaa
 
Dah! Wanangu for first time mambo ya government yalinigusa kunako moyoni.

Nilikua na dharura Morogoro majuzi SGR hamna tiketi kabisa 2 days ahead, damn.

Niliishia kutumia siku nzima Barabarani Kisa malori tele.

Hakuna namna kweli waongeze vichwa vya treni maana hali si poa, 2 days ahead dah hata hiyo siku ya 3 unakuta ile mida strategic ipo booked wanakuachia mida tight.
We need to expand Morogoro road. Sijui kwa nini wanasitasita
 
Dah! Wanangu for first time mambo ya government yalinigusa kunako moyoni.

Nilikua na dharura Morogoro majuzi SGR hamna tiketi kabisa 2 days ahead, damn.

Niliishia kutumia siku nzima Barabarani Kisa malori tele.

Hakuna namna kweli waongeze vichwa vya treni maana hali si poa, 2 days ahead dah hata hiyo siku ya 3 unakuta ile mida strategic ipo booked wanakuachia mida tight.
Suala sio kongeza vichwa sasa bali ni passing loops au iwe double truck maana abiria ni wengi kuliko walivyotarajia
 
Tanzania needs more airport storage for horticulture produce

27 Oct 2023 - By Staff reporter
kilimanjarointernationalairport.png

HTKJ Kilimanjaro International Airport on the outskirts of Arusha in Tanzania. Source: MSFS Addons

The Kilimanjaro Airports Development Company in Tanzania has been urged to expand storage infrastructure for horticulture-related produce at the Kilimanjaro International Airport to meet rapidly growing export demand.

The country’s deputy minister for transport, David Kihenzile, said such facilities would aid the storage of produce waiting to be exported as the government continued to improve foreign trade opportunities.
lg.php

Kihenzile made the call during an official tour of the airport recently.

"The government continues to work towards creating a good business and investment environment that has led to the growth of international trade between Tanzania and other countries. This has increased exports of horticulture produce.

"So we must begin to strategise about how to increase storage of horticultural produce to avoid exporting these crops using other airports located outside the country due to lack of reliable storage facilities," he said.

Tanzania’s horticulture sector is growing rapidly and is on course to meet the goal of the country’s Tanzania Development Vision 2025 to reach a $3-billion annual export target for horticulture produce, up from $779 million in 2019 when the 2025 target was set.

The country exports its horticulture produce to Europe, the Middle East and regional African countries.

The main horticultural crops of Tanzania include tomatoes, cabbages, onions, carrots, round potatoes, mangoes, oranges and flower seeds.

Wakundustan kwenye comments wenyewe wanashangaa watanzania wasivyo na ufukara kama wao.

View: https://vm.tiktok.com/ZMScYk4nJ/

Aisee hii ingetokea Kenya wallahi watu wangekufa wanagombania hiyo mitungi, tofauti ya maisha na maadili baina ya Tanzania na Kenya ni kubwa sanaaaa, video nyingi tume share humu za ajali baina ya hizi nchi mbili na tumeona walivyo na njaa isiyo na kipimo. Kenya ni mavi.
 
Back
Top Bottom