concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Hilo siku hizi hata sio la kutegemea wiki nzima huwa liko full tu , trc washazidiwa na watejaNa keshokutwa pia ile mida ya kimkakati unakuta full
Hilo siku hizi hata sio la kutegemea wiki nzima huwa liko full tu , trc washazidiwa na watejaNa keshokutwa pia ile mida ya kimkakati unakuta full
Malori yamekua mengi bandari ina mzigo mkubwa mno ICDs zote zimejaa containers mpaka wameamua kupeleka mzigo Kwala, kwala ina zaidi ya miaka 6 ilishakamilika miundombinu yote lakini hawajawahi kupeleka mzigo sababu wenye ICDs Dar waliona watakosa biashara, lakini containers zimewazidia mpaka jangwani wamejaza lakini wapi.Dah! Wanangu for first time mambo ya government yalinigusa kunako moyoni.
Nilikua na dharura Morogoro majuzi SGR hamna tiketi kabisa 2 days ahead, damn.
Niliishia kutumia siku nzima Barabarani Kisa malori tele.
Hakuna namna kweli waongeze vichwa vya treni maana hali si poa, 2 days ahead dah hata hiyo siku ya 3 unakuta ile mida strategic ipo booked wanakuachia mida tight.
So sad, badala ya kuchukulia kama sifa walitakiwa kuchukulia kama fursa ya kupiga pesa nyingi na kufanya Reli isaidie kusukuma kasi ya uchumi, maana hawa wanaopoteza masaa Barabarani wangeyatumia kufanya kweli mambo yangekua mbali.Hilo siku hizi hata sio la kutegemea wiki nzima huwa liko full tu , trc washazidiwa na wateja
Wanunue mabehewa Yale ya kubeba abiria na magari. Watapata wateja kibao tu, kuna watu wanaotoka dar mpaka Dodoma wakifika Dodoma inawabidi wakodi magari kwa ajili ya shughuliHawa watu wa serikali na Magari yao nyambafu mnaonaje SGR wapewe train moja ina mchanganyiko wa flat bed na behewa la abiria wakae humo kuletwa Dar na kurudishwa Dom, kuliko kiongozi anachukua SGR alafu Dereva kutusumbua Barabarani.
Ni miaka minne sasa toka hizo story zianzeKuna project ya PPP inapita hapo, toll road.
Kibaha to Dodoma.
😂😂😂 Wenyewe wanashangaa hata huku wanajua ila kukubali ndio issue lakini deep down wanaelewa walivyo hovyo.Aisee hii ingetokea Kenya wallahi watu wangekufa wanagombania hiyo mitungi, tofauti ya maisha na maadili baina ya Tanzania na Kenya ni kubwa sanaaaa, video nyingi tume share humu za ajali baina ya hizi nchi mbili na tumeona walivyo na njaa isiyo na kipimo. Kenya ni mavi.
Imagine mpaka lile la mchongoko leo limekosekana hapa kulikuwa na emergence ya dar ikabidi tutafute ya Moro kwa gharama yoyote tumekula za mbavuSo sad, badala ya kuchukulia kama sifa walitakiwa kuchukulia kama fursa ya kupiga pesa nyingi na kufanya Reli isaidie kusukuma kasi ya uchumi, maana hawa wanaopoteza masaa Barabarani wangeyatumia kufanya kweli mambo yangekua mbali.
Jambo la msingi ni mkataba mzuri.Ni miaka minne sasa toka hizo story zianze
Ile inayofanya dar Moro naona hata haifanyi kazi sana.Hakuna namna wakawa na yadi pia Morogoro Dodoma kama ya pugu ili kuwe na vichwa kule pia, moja ikifika nyingine inageuza.
Mfano Dar Moro ni 1hrs waweke ziwe mbili Dar Moro, yaani ya kwanza Moro ikifika tu, nyingine inapakia kuanza Dar same time. Or Interval time na zingine kukutania kwenye mapishano.
Ili hata kwa siku ziwe safari nyingi.
Maoni tu, unaweza nirekebisha.
Malori yamekua mengi bandari ina mzigo mkubwa mno ICDs zote zimejaa containers mpaka wameamua kupeleka mzigo Kwala, kwala ina zaidi ya miaka 6 ilishakamilika miundombinu yote lakini hawajawahi kupeleka mzigo sababu wenye ICDs Dar waliona watakosa biashara, lakini containers zimewazidia mpaka jangwani wamejaza lakini wapi.
View: https://youtu.be/MeQgU7Q8RXw?si=gGPNnxELbEOlMPU4
Damn unajiuliza nani anawashauri asee, hii nayo inaweza leta pesa nyingi, yaani hata pikipiki za watu wa mikoani.mzigo unawekwa huko badala ya kwenye malori.Wanunue mabehewa Yale ya kubeba abiria na magari. Watapata wateja kibao tu, kuna watu wanaotoka dar mpaka Dodoma wakifika Dodoma inawabidi wakodi magari kwa ajili ya shughuli
Walitakiwa waanze ujenzi miaka mitano nyuma!! Hiyo barabara hali ni mbaya sana!!Kuna project ya PPP inapita hapo, toll road.
Kibaha to Dodoma.
Sisi wa kusimamisha JNHPP ndio wa kufanya PPP hiyo route ya 1bn?Kuna project ya PPP inapita hapo, toll road.
Kibaha to Dodoma.
Kiukweli sasa hivi bandari Inaweza kuwa fursa kwetu kwa kuangalia TU yanayoendelea afrika kusini na Mozambique tunaweza vutia watu wengi sana kutumia bandari yetu mpaka tukasahau kabisa masuala ya madeni .Ila hao watu wa serikali wana matatizo sometimes, tatizo kuu ni.kuona sifa kupitia changamoto.
Hivi vitu ni opportunity kubwa sana.
Mfano mmoja hizo nchi zinazotuzunguka wanaotumia bandari ya Dar watajisikiaje siku wakijua tumepunguza muda wa usafirishaji mizigo yao kutoka siku sijui 2 hadi masaa 10? Si watakuja wengi wengi kupelekea mapato kuwa mengi, kuongeza soft influence in this region, ambayo inaweza fungua madili zaidi kama ya EACOP.
Kiukweli kwala ilipaswa iwe kwa ajili ya mizigo ya Zambia, Malawi na Lubumbashi na nchi zote za uelekeo huo.Plus hizo nchi zote kila kukicha zinatafuta investors wa uchumi wao na investors anaangalia logistics pia, ikiwa sisi tumeonekana tupo seriously we double mapato na mizigo ya investors.
Yaani unapata hasira, kuna mipesa kila sehemu hata utalii cha mtoto ambayo effects ni kubwa sana.
Ila kwa kua sifa ipo wakiona eti imejaa wanaanza jisifu mwisho hiyo jaa inakua kero watu wanakimbia tunarudi nyuma.
SGR imefika Dodoma yes, ni jambo safi ya mizigo imeanza ni kheri, kwa kua hawataki heavy Cargo, wangeanza na soft cargo kwenye palletes, watu wanazichukulia Dodoma or Pugu.
Ila ndio hivyo sijui hata wanaona.
MAMBO YA KUCHUKULIA VITU VIKIJAA KAMA SIFA KUA MRADI UNAFANYA KAZI, MWISHOWE HIYO JAA INAGEUKA KERO TUACHE. BADALA YAKE TUENDELEZE NAMNA YA KUTUMIA FURSA HIYO YA KUJAA KUWA MORE CONVENIENCE.
Mwendokasi ilianza kwa kujaa Makofi mengi watu wakasema mradi bomba ila naona nyie wote ni mashahidi hiyo jaa imekua kero.
Vivuko hivyo hivyo.
Barabara hivyo hivyo
Now tupo Huko SGR wasipoamka inaweza kua kero na kero mara nyingi inapelekea kuharibika hatua zisipochukuliwa.
Mtu atoke nje kuja kuexperince SGR akute 3 days Full inakuaje hapo.
1b ni lami kilometa moja. Nadhani hofu yao ni kufikia stage kama ya Kenya, ya madeni makubwa.Sisi wa kusimamisha JNHPP ndio wa kufanya PPP hiyo route ya 1bn?
Kigamboni kuna pesa za NSSF wanataka kurudisha pesa za wastaafu.Ndio yale yale Kigamboni bridge ulipie,
Una wazo kama langu. Tusie dekeze sana PPP kwenye barabara.Tanzanite bure, Busisi Bridge bure na yana thamani kuliko la PPP toll kule Kigamboni.
Tuwe seriously bana, PPP iwe huko kwenye hard project kama Gas na madini adimu sasa.
Sipingi ila ikiwa unaonekana unaweza why usifanye,
Sababu hiyo Road ya Kibaha - Dodoma haikamiliki mwaka inachukua hata 9, 10 years, na ikiwa kila mwezi serikali inakusanya $13bn kwa mwaka mmoja wa fedha via TRA, almost Trillions 32 Tsh, mwaka mmoja wa fedha.
Road inajengwa miaka 10 estimate amount ni $1bn to $2bn.
Hivyo kwa mwaka mmoja unaweza Tenga 100m kulipia miaka 10, barabara hii hapa Full funded by Government, ndio hiyo model ilifanya kazi JNHPP bwawa tupo nalo tunatamba nalo.
At the same time unaweza kuza mapato kupitia SGR, TPDC (CNG), Madini (STAMICO), Exports ya kilimo.
Yaani KUMAMAKE DAMN
Bado IMF watakuambia Kunyaland GDP inakua Tanzania inashrink
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1949397146152665161?t=qwfY0StUamJSuBII0WwzfA&s=19
Dah kaka unawazaga mbali sana hivi kabila gani we jamaa!?Wanunue mabehewa Yale ya kubeba abiria na magari. Watapata wateja kibao tu, kuna watu wanaotoka dar mpaka Dodoma wakifika Dodoma inawabidi wakodi magari kwa ajili ya shughuli
Bado IMF watakuambia Kunyaland GDP inakua Tanzania inashrink
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1949397146152665161?t=qwfY0StUamJSuBII0WwzfA&s=19