Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haiwezekani kumfungulia mashtaka. Maana hawa wasenge sometimes wanatuzoea Tz.
Kumbuka Leopard tours wana the largest tourvans fleet in the whole of Africa!

View: https://www.instagram.com/reel/DMF51JANHiz/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=OHU4bzJucnQ2bTQ4

View: https://www.tiktok.com/@leopard_tours_limited/video/7349105812175932677?is_from_webapp=1&sender_device=pc&web_id=7526251310196131350

View: https://youtu.be/8XbW1J0Y8Cc?si=YzKCWo296GQNWjC6

2y66U_op1ktLCbH56Q-PR9BsP-5-GMjaIIxuL8X76WFvt6fYqzGRiguotwKi7iQX4wKk9AQXkA=w1707-fcrop64=1,00005a57ffffa5a8-k-c0xffffffff-no-nd-rj

View: https://youtu.be/VVPmbw2_yNk?si=ZFDLDOgRtdDi184u
 
Haiwezekani kumfungulia mashtaka. Maana hawa wasenge sometimes wanatuzoea Tz.
Kuna demu black American alikuwa analia lia kwanini Tanzania hairuhusu uraia pacha, kwanini sheria za Tanzania mgeni ukianzisha kampuni lazima shareholder awe Mtanzania. 😂😂😂
Anamilika maelfu ya mahekari ya mashamba Kunyaland.
 
Dah! Wanangu for first time mambo ya government yalinigusa kunako moyoni.

Nilikua na dharura Morogoro majuzi SGR hamna tiketi kabisa 2 days ahead, damn.

Niliishia kutumia siku nzima Barabarani Kisa malori tele.

Hakuna namna kweli waongeze vichwa vya treni maana hali si poa, 2 days ahead dah hata hiyo siku ya 3 unakuta ile mida strategic ipo booked wanakuachia mida tight.
 
Kuna hii Sheria inawaumua sana wageni

Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty)​

Nimewahi kuwepo kwenye majadiliano ya kuhusu sheria hii kwenye wizara kadha wa kadha na katika utungaji wa kanuni.

Hii sheria ni nzuri sana. Unaweza kuipitia. Nitaziweka kanuni zake
 
Dah! Wanangu for first time mambo ya government yalinigusa kunako moyoni.

Nilikua na dharura Morogoro majuzi SGR hamna tiketi kabisa 2 days ahead, damn.

Niliishia kutumia siku nzima Barabarani Kisa malori tele.

Hakuna namna kweli waongeze vichwa vya treni maana hali si poa, 2 days ahead dah hata hiyo siku ya 3 unakuta ile mida strategic ipo booked wanakuachia mida tight.
Nahisi kwa Yale ya locomotive mabehewa hayatoshi maana yalikuwa 59 hapo Kuna mpaka lile la rais na lile la escort ya mizigo kwenye treni ya mizigo.
Kwa sasa zinazofanya kazi ni treni 3 , mbili zinaenda Dodoma kwa na moja ni Ile ya Moro dar , nadhani kuna reserve ya mabehewa kwa ajili matengenezo pale au kuyapa shift.
Mimi naona wabalansi muda tu zile treni tatu zipige trip nne kwa siku , yaan Kila treni iongezewe trip moja badala ya tatu za sasa hivi
 
Dah! Wanangu for first time mambo ya government yalinigusa kunako moyoni.

Nilikua na dharura Morogoro majuzi SGR hamna tiketi kabisa 2 days ahead, damn.

Niliishia kutumia siku nzima Barabarani Kisa malori tele.

Hakuna namna kweli waongeze vichwa vya treni maana hali si poa, 2 days ahead dah hata hiyo siku ya 3 unakuta ile mida strategic ipo booked wanakuachia mida tight.
Fikiria hata leo kutoka Dodoma mpaka kesho zimejaa
 
Back
Top Bottom