The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Huwa mnapenda kuiga iga mambo matokeo yake mnafanya vitu jua kali.Funikeni hizi running tracks the way Egypt did with Afcon.
It's a football tournament
Very ugly
Huwa mnapenda kuiga iga mambo matokeo yake mnafanya vitu jua kali.Funikeni hizi running tracks the way Egypt did with Afcon.
It's a football tournament
Very ugly
Alafu hawa kwnn kingereza chao kibovu hivii, et wantam 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Msamba umepasuka kabla ya wantam haijaisha.
Ndinda at his best, kabla sijasoma nikasema wapi hapa?
Mashamba mengi ya Tanzania production yake haijafikia maturity lakini growth speed yake ni kubwa kuliko .Wewe unaongea 2036 wakati tuko 2025 . By then unafikiri Kenya itakuwa wapi?… we will be playing in the league of Mexico … kaa kimya!😁😁
Acha kuwa fala zaidi ya nijuavyo, watu wana replace manpower na sophisticated technologies, serikali inatakiwa kuinvest kwenye mifumo kuondoa human error kwenye services delivery, ni ikulu yenu tu ilikua na wafanyakazi elfu 10 just a tiny house left by colonizers mpaka wanatakiwa wajengewe kanisa la billion 100 you can imagine how useless your civil servants are.Waaah enyewe tz ni takataka kabisa.
South Africa with a population of 64m wako na public service 1.4m, Thailand with 71m wako na 2.1m , tz with 68m has 500k!!!
Key word is poverty.
Teacher or doctor or police ratio to citizens lazma ni 1:10,000 😂
Nani aliroga hiii nchi!!
Kunyaland hawana hata mradi wa mil 10 bila msaada
View: https://www.instagram.com/p/DMYCLy5N8aA/?img_index=6&igsh=dzFzcG1qZWgzeHkw
Pesa inaenda kwa matajiri lakini regular farmers hakuna … hizi zone ni corporations. Tembea Kenya and see the lifestyle of Tea farmers and nowadays avocado farmers.. Do research then come back ..Mashamba mengi ya Tanzania production yake haijafikia maturity lakini growth speed yake ni kubwa kuliko .
Ntakupa mfano tu Mashamba makubwa ambayo Kenya huwez pata na hapo hatujaweka yale ya watu wa kawaida.
Tova Farms
Location: Tanzania
Size: Over 5,000 acres
Overview: Tova Farms is a multinational avocado company specializing in the cultivation and export of avocados. Their flagship farm in Tanzania spans over 5,000 acres, and they export to 13 countries globally.
Africado Ltd.
Location: Kilimanjaro Region, Northern Tanzania
Size: Over 1,000 hectares
Overview: Established in 2007, Africado has grown to become the largest fruit exporter in Tanzania, producing and exporting Hass avocados to the EU. The company works with over 2,000 small-scale out-growers.
Willis Avocado Farms
Location: Kilolo District, Iringa Region
Size: Information not specified
Overview: Founded in 2017, Willis Avocado Farms focuses on sustainable organic Hass avocado production. They aim to address societal issues like youth employment, women empowerment, and food security while capitalizing on the increasing global demand for avocados.
Lupembe Avocado Farm
Location: Njombe Region, Southern Highlands
Size: 400 acres (300 acres developed)
Overview: Established in 2019, Lupembe Avocado Farm specializes in organic avocado production. They also have a nursery producing high-quality grafted Hass avocado seedlings and work with over 300 out-growers.
Rungwe Avocado Company
Location: Southern Highlands
Size: Approximately 900 hectares (including out-growers)
Overview: Established in 2009, Rungwe Avocado Company has developed a network of over 2,000 farmers. They focus on high-quality avocado production for export markets
Hapo Kuna majority ya avocado farms bado ziko kwa unproductive stage na hazipo recorded .
Hata tukija kwa tova farms idadi kubwa ya shamba lake halijaanza uzalishaji .
Tukija Kenya hakuna shamba la uwezo wa hata acre 3000 .
Inshort Mashamba ya maparachichi Tanzania kwa sasa ni mengi na makubwa kuliko hata korosho
Tembea njombe uone lifestyle ya wakulima wa miti, nenda tandahimba uone wakulima wa korosho.Pesa inaenda kwa matajiri lakini regular farmers hakuna … hizi zone ni corporations. Tembea Kenya and see the lifestyle of Tea farmers and nowadays avocado farmers.. Do research then come back ..
Regular farmer kwako ni yupi? Ebu njoo njombe uone mfano tu wa zao la miti linavyofanya watu wawe matajiri.Pesa inaenda kwa matajiri lakini regular farmers hakuna … hizi zone ni corporations. Tembea Kenya and see the lifestyle of Tea farmers and nowadays avocado farmers.. Do research then come back ..
Eti welcome to the New York of Africa then ended up in mud trenches and trash shacks, wakenya exposure ni problem
View: https://youtu.be/NtMaIjE4x-k?si=MsnQa0PcXgXOibam
Umeona watu wanaishi kama machokoraa, hiyo airport tu ipo kama joshoKwa kweli hawa nyang'au akina NairobiWalker wana haki ya kuandamana kama maisha yako hivyo ndani ya mji wao mkuu. Jamaa anawavua nguo😎
Wakiwa humu wanajitapa utafikiri linchi lao liko kwenye matawi ya juu, kumbe ni upuuzi mtupu😂Umeona watu wanaishi kama machokoraa, hiyo airport tu ipo kama josho
View: https://x.com/therealantoh/status/1948797428238356893?t=7RRYd9T5fMxe-cUIjcyk4Q&s=19 kunyan wanalalamika ajira zao kuchukuliwa 😃
Unaweza kukuta ni shamba lake!Hata President Ruto is enjoying the view
View attachment 3418977