Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
Nduo shida ya kuabudu wanasiasa, wananchi mkikosa agenda then wanasiasa ndio wakawa wanawapa cha kuanya watawaumiza tu.Kenya fiscal discipline hakuna kabisa.
Hawa watu sijui wanaona flex ipi kwenye hayo marangirangi yao, hawajui tu yalivyo mabaya 😅Aliyaka yapakwe rangi kama ya Bucha😂
tuko sawa na nini wewe mnuka mavi?Then don’t bite off more than you can chew . Tuko sawa
I am not a high tech guy nimekupa code hapo lakini kwa akili yako ndogo umeshindwa kuielewa that shows what calibre of a person you are. In addition it shows you have never set your foot in NC it is not Tech triangle it is called Research Triangle you are so dumb indeed.Not really. He told me he spent lots of time in the so called tech triangle, North Carolina . It’s the second silicon valley of the United States. Then I guess he’s a high tech guy . He’s everything.. 🤣🤣
Huku kwetu tuna enforce sana axle load limits ukiweka mzigo hapo utazidi mizani. Japo design hiyo ya buses inawa favour sana business people moving between EA countries.
Well, look at this one haha,
This one be the surest way of earning some ease instant money,
Kwa wale wawekezaji,
Bet Kenya Loses over 1.5 each match, Kisha weka mzigo. Unapiga hela hapa.
Kenya hawataambulia hata sare Moja hapa, ni vipigo tu. No wonder juzi wamekimbia mashindano huko Karatu. Aibu naona Mimi. 😄😄😄
View attachment 3417215
LAKE OIL AMESHINDA TENDA YA KU SUPPLY GAS (CNG) KWENYE MABASI YA BRT
Sikiliza hapa mpaka mwisho
View: https://youtu.be/e_KN_2vO-sw?si=RFJhIveM-XUQPWMC
Ni ya walewale ila wameweka mtu front tuu.Hivi lake oil ni ya nani?
Ni ya walewale ila wameweka mtu front tuu.
Olympic Petroleum (T) Limited Owner yupo RwandaHivi lake oil ni ya nani?
Ally awadhi ni nani sasa kwenye lake oil na Olympic sio Iko chini ya Ali don na Wana ofisi Kigali ila makao makuu ni mwanzaOlympic Petroleum (T) Limited Owner yupo Rwanda