Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kundustan walikimbia

1753366220884.png
 
Kwa hivyo munajenga soko ya hawkers. 🤣 🤣 🤣
Hiyo ni kawaida kwa sehemu za mizunguko ya biashara huria kama hizo kama mradi haujakamilika watu huketi na kufanya biashara zao.
Ila haimaanishi kuwa watafanya milele maana hapo bado ujenzi unaendelea.
 
Nchi ya 400 billion GDP inageuza construction site soko la hawkers. 🤣 🤣 🤣
 
How do you know Charlottesville is better?.. umefika huko ama ni maoni yako tu …😁😁
Let me enlighten you …. Raleigh, Chapel Hill and Durham tri city area is the silicon valley of the East Coast of the US . So it binds well with Nairobi’s Silicon savanna aspects. Now you know
Acha ujinga huko USA kwangu ni kama chooni tuu.
 
How do you know Charlottesville is better?.. umefika huko ama ni maoni yako tu …😁😁
Let me enlighten you …. Raleigh, Chapel Hill and Durham tri city area is the silicon valley of the East Coast of the US . So it binds well with Nairobi’s Silicon savanna aspects. Now you know
Are you teaching me the geography of NC or you intended it for the forum consumption?
 
Back
Top Bottom