Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hoa wanawake wakinyarwanda wote ni maspy tu!! Mtu kama lugumu kuwa na mpenzi wa kinyarwamda ni national security threat. Wakati lugumi anaongea na majerali akijiachia, demu ananasa kila kitu anapeleka habari Kigali!!

Hawa wanyarwamda sio wa kuwaamini kabisa! Wamesha tuonesha tena na tena sio watu wazuri kabisa!!!
Mbona mnawakuza sana Wanyarwanda? Kitu gani wamewahi kufanya mpaka mnawakuza hivyo? Kiuchumi, Kiakili, Kiulinzi, Kiusalama tunawazidi kwa mbali mno. Mambo yote ya kiusalama wanakuja kujifunza TZ.

Huyo Lugumi ndiye anayenunu silaha za majeshi yao.

Mwache Lugumi ale mtoto mbichi.
 
Gotcha ya !!!… I knew you are full of it . You are a liar liar !.. the fact that you never heard the term “tech triangle” means you are basing your argument on what you read online and only a person who has stepped their foot there would know that. Now I see why Kenyans refers you as the jack of all trades. Let me give you the perspective… it’s like someone saying they have lived in Tanzania and when asked how life was in Bongo they respond that they never heard of Bongo and continue to argue there is no country named Bongo . It’s called Republic of Tanzania. You see how ignorant that would sound. It means they either lived in Tanzania by Google or never interacted while there 😁😁That’s you right now. Don’t get mixed up between North Carolina and North Tandale 🤣🤣🤣
Hivi ninyi mnakunywaga maji ya kwenye madimbwi, mbona hamtuoneshagi miradi yenu ya maji?

View: https://www.instagram.com/p/DMcK5cOCsuj/?img_index=4&igsh=bmFjeDk5NGp0aGJo
 
Mbona mnawakuza sana Wanyarwanda? Kitu gani wamewahi kufanya mpaka mnawakuza hivyo? Kiuchumi, Kiakili, Kiulinzi, Kiusalama tunawazidi kwa mbali mno. Mambo yote ya kiusalama wanakuja kujifunza TZ.

Huyo Lugumi ndiye anayenunu silaha za majeshi yao.

Mwache Lugumi ale mtoto mbichi.
Wacha kuchukulia mambo kirahisi! Lugumi ni dalali wa silaha na wateja wake ni majeshi!
 
Image
 
Waliweka elimu bure baada ya Tanzania kufanya hivyo sasa wameangukia pua 😂😂😂
Walikuwa wanamuiga tembo hao. Pia tunaweza sema ni "another indicator of fake GDP".

Niliwapa challenge ndugu zetu hawa, Wakenya, watuoneshe nchi yenye GDP chini ya $250 inayofanya, tunayofanya, mpaka sasa kimya.
NairobiWalker nairobae
 
Hivi unafahamu bajeti ya elimu ya kenya ni mara mbili ya Tanzania?
 
Back
Top Bottom