Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Teargass nairobae

Tuongee mambo makubwa

1753374427510.png
 
Are you teaching me the geography of NC or you intended it for the forum consumption?
Based on what you posted , you have limited knowledge of North Carolina except what you google . It shows. Some details require first hand experience.
 
Twende na wakati. 🤣 🤣

Image
What's the difference here?
Hii kitu hamuwezi kujua because hamna mifumo ya kisasa. Metropolitan cities zote duniani hasa za kwenye first world countries hupitia changamoto kama hizi nyie hamuwezi kuexperiance cause hamna systems kama hizo hata treni zao za umeme hukwama pia
1753374893847.png
 
Based on what you posted , you have limited knowledge of North Carolina except what you google . It shows. Some details require first hand experience.
Acha ujinga wewe I spent years hapo Research Triangle Park UNC, Duke na hata MA HSPH Boston huko hunipotezi ni vitu vidogo sana kwangu umesikia wewe dereva sijui utingo?
 
What's the difference here?
Hii kitu hamuwezi kujua because hamna mifumo ya kisasa. Metropolitan cities zote duniani hasa za kwenye first world countries hupitia changamoto kama hizi nyie hamuwezi kuexperiance cause hamna systems kama hizo hata treni zao za umeme hukwama pia
View attachment 3417015
The difference is very clear. Their buses are new, their buses don't move with over crowded passengers yet the doors are not closed, hawatumii madirisha kuingia. Huna aibu kucompare london na Dar is a slum.

Image
 
Acha ujinga wewe I spent years hapo Research Triangle Park UNC, Duke na hata MA HSPH Boston huko hunipotezi ni vitu vidogo sana kwangu umesikia wewe dereva sijui utingo?
So kwa nini hukuelewa mambo ya Nairobi na research triangle connection?… wewe ni Tar-Heel au Blue Devil . Forget Boston, huko ni mbali . Stick to the triangle . When was that?
 
Mkuu mimi nimesoma Uhuru Primary School. Lake Oil ndio waliopata tenda kaka. Wao watanunua TPDC

Tender ilitangazwa hapa:
I thought you were talking about UDART maana Chalamila hawezi akasababisha UDART wanyanganywe kandarasi maana kampuni ina watu wazito ile mkuu hata hiyo Lake Group ni yao pia.
 
I thought you were talking about UDART maana Chalamila hawezi akasababisha UDART wanyanganywe kandarasi maana kampuni ina watu wazito ile mkuu hata hiyo Lake Group ni yao pia.
Brother ungesoma maelezo yangu vizuri. Nadhani uliwahi kunijibu kabla ya kusoma. Mimi nilikuwa naongelea Lake Oil ku supply Gas kwenye mabasi ya BRT. Hilo la UDART brother najua. Kumbuka mkurugenzi wa UDART amewahi kuwa Mkurugenzi wa TTCL
 
Back
Top Bottom