Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha ujinga wewe I spent years hapo Research Triangle Park UNC, Duke na hata MA HSPH Boston huko hunipotezi ni vitu vidogo sana kwangu umesikia wewe dereva sijui utingo?
So kwa nini hukuelewa mambo ya Nairobi na research triangle connection?… wewe ni Tar-Heel au Blue Devil . Forget Boston, huko ni mbali . Stick to the triangle . When was that?
 
Mkuu mimi nimesoma Uhuru Primary School. Lake Oil ndio waliopata tenda kaka. Wao watanunua TPDC

Tender ilitangazwa hapa:
I thought you were talking about UDART maana Chalamila hawezi akasababisha UDART wanyanganywe kandarasi maana kampuni ina watu wazito ile mkuu hata hiyo Lake Group ni yao pia.
 
I thought you were talking about UDART maana Chalamila hawezi akasababisha UDART wanyanganywe kandarasi maana kampuni ina watu wazito ile mkuu hata hiyo Lake Group ni yao pia.
Brother ungesoma maelezo yangu vizuri. Nadhani uliwahi kunijibu kabla ya kusoma. Mimi nilikuwa naongelea Lake Oil ku supply Gas kwenye mabasi ya BRT. Hilo la UDART brother najua. Kumbuka mkurugenzi wa UDART amewahi kuwa Mkurugenzi wa TTCL
 
Terminal 3, Zanzibar Abeid Amaan Karume International Airport, this is how the International Airport looks like.
Not like some oldy drab disdained terminal with leaking roofs in our immediate poor neighbor.
Pictures taken by me earlier today
IMG_20250724_071406030_AE.jpg
IMG_20250724_071356807_AE.jpg
IMG_20250724_071250224_AE.jpg
IMG_20250724_071206387_AE.jpg
IMG_20250724_070207361_AE.jpg
 

Attachments

  • IMG_20250724_071419460_AE.jpg
    IMG_20250724_071419460_AE.jpg
    1.5 MB · Views: 7
  • IMG_20250724_071122901_AE.jpg
    IMG_20250724_071122901_AE.jpg
    911.4 KB · Views: 7
  • IMG_20250724_070101896_AE.jpg
    IMG_20250724_070101896_AE.jpg
    844.9 KB · Views: 7
Back
Top Bottom