Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mi naona hata ku quadruple inawezekana, haya mambo ya maendeleo huwa ni exponential, yakianza yanasambaa haraka.

Tukiwa na watu makini ndani ya miaka 10 watu wataishangaa Tz.

Kumbuka uhalisia wa uchumi wetu ni zaidi ya $400B, japo kwenye makaratasi hauoneshi. Mambo tunayo yafanya hakuna nchi yenye GPD ya 250B iliyowahi kufanya.
I didn't know you are this deluded! eti GDP ya Tanzania ni $400B!!, kiuhalisia!, itakua wewe ni miongoni mwa wale wabunge wenu walai hehehehe.., then justifying by "huge projects u are doing" eti it's the picture ya GDP!.., Aliko Dangote built a very big refinery in Nigeria, yet the GDP shrunk further.., boss!!!!
Mnalingana na South Africa eti hehehehe.., check your annual revenue., hehe
 
Nitajie nchi yoyote duniani yenye GDP chini ya $250B, ambayo kwa pamoja, inajenga madaraja, mji mpya from scratch, reli, dam, kununua ndege cash, huku ikiwa na food security zaidi ya 100%, ikilipa mishahara bila shida, huku ikisomesha watoto mpaka sekondari bure.
Unaitaji matibabu. Hii yako ni ugonjwa.
 
Nitajie nchi yoyote duniani yenye GDP chini ya $250B, ambayo kwa pamoja, inajenga madaraja, mji mpya from scratch, reli, dam, kununua ndege cash, huku ikiwa na food security zaidi ya 100%, ikilipa mishahara bila shida, huku ikisomesha watoto mpaka sekondari bure.
Reasoning ya The best 007 na Sama boy 255 hii., hehehehehehe..,
 
Kisumu Airport aka International mbona jamaa hawana picha za kueleweka kuisuport hoja zao toka hata hiyo Arusha airport haijawa na new building.

Like walete picha ya abiria wa international or ndege ya international ikiwa.

Utasikia abiria 500k wote wana Nokia Asha hawawezi share experience.
Na kama si upuuzi wa watu wa manispaa Jiji Mwanza, tungekuwa tunaongelea operations za hii terminal!

View: https://x.com/TanzaniaInsight/status/1722928340024033501
 
I didn't know you are this deluded! eti GDP ya Tanzania ni $400B!!, kiuhalisia!, itakua wewe ni miongoni mwa wale wabunge wenu walai hehehehe.., then justifying by "huge projects u are doing" eti it's the picture ya GDP!.., Aliko Dangote built a very big refinery in Nigeria, yet the GDP shrunk further.., boss!!!!
Mnalingana na South Africa eti hehehehe.., check your annual revenue., hehe
Hahah with $400 lb GDP revenue yao inafaa kuchezea more than ksh 8 Trillion and above
 
Back
Top Bottom