Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo toa ufisadi unapata 50% matokeo yake ni miradi mibovu chini ya kiwango uwezi kucheka na kima usivune mabua ,makima wengi ni wafanyakazi serikalini
Onyesha huo mradi mbovu wa chini ya kiwango? Ulitaka Alie na kima?
 
Tatizo mama anapenda kujikita kwenye mambo ya kipumbaavu na kuacha mambo ya msingi swala la sensa ni upumbavu na kuchezea pesa mifumo ingekuwa ipo vizuri wangejua kila wanacho kitaka kukijua bila ya sensa mfano wanao zaliwa na wanaokufa ,wageni wanao ingia tz wanafunzi ,wafanyakazi nk ,haya mambo ya sensa ni matokeo ya kukosa viongozi makini wenye kuunda mifumo makini inayo ratibu takwimu mbalimbali siku kwa siku
wacha ujuaji wewe una akili zaidi ya walioweka timespan ya miaka 10 sio? Au ndo wale wa kanda ya ziwa walioshiba na favarotism na unfair allocation ya resources! Kwahiyo mnaona sawa tu hata tusipohesabiwa! Watu wengine mnaudhi sana humu ndani! Sensa ya watu na makazi ni sheria! Kuna mikoa ni food baskets miaka nenda miaka rudi na all what they contribute inahitaji good allocation of services!
 
Laying Underwater Pipelines for the New Kipevu Oil Terminal MOMBASA
zMbTEiF.jpg

zKmJ8yb.jpg
zEiCHvi.jpg
yRO6SfR.jpg
uVucGkd.jpg
TCpV2L3.jpg
Pwmki8G.jpg
PC4dM8X.jpg
lYnPbRe.jpg
lpRjUbJ.jpg
KzUpI7l.jpg
JjTZHMX.jpg
jd2XaD9.jpg
jd2XaD9 (1).jpg
IqEEEjA.jpg
b1h6aNU.jpg
9sapN4s.jpg
8yf5SAM.jpg
6G6qdwV.jpg
3jVdDRm.jpg
3bly521.jpg


RWEXp0I.jpg
 
Back
Top Bottom