Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Woga wako tu kaka yangu. Brother unawakuza sana watusi brother hawana ubavu wowote. Hiyo mentality uliyolishwa kichwani mwako ni vigumu sana kuitoa. Hao akina Kagame na Museven mafunzo yao wanapata hapa Tanzania. Taasisi yao ya Usalama hapo Rwanda mafunzo yao wanapata hapa Tanzania. Sijaelewa kwanini unawapa hao watusi umuhimu ambao hawana.

Huwezi kuwalinganisha huwezi kuwalinganisha Watusi na Kurds, ni mbingu la ardhi kaka. Hapa Afrika jamii yenye mtandao mkubwa na unaweza kuwaogopa ni Wasomali siyo watusi.

Makadirio ya Tutsi katika nchi 5 ni 4,847,000.
Burundi: 1,998,000
Rwanda: 1,468,000
DRC: 518,000
Uganda: 752,000
Tanzania: 111,000

Wakati Wasukuma/Nyamwezi ni zaidi ya 20,000,000.

ACHA WOGA KAKA YANGU, PIGA KAZI
Nimemkuza wapi mtutsi mkuu!?
Embu nioneshe pahala nilipomkuza mtutsi?
Nimeelezea silka yao ikoje sijamsifu mtu mimi hapa.
Pia naona Wacha hii mada iishe it's over Kila mtu abaki na mtazamo wake.
Kheri nitakufa kabla haya hayajatokea.
 
Mimi kuna kitu kimoja nashangaa, hawa Wasukuma, Waha na Wahaya ndio wamekosa uzalendo namna hii? Mbona suala la wahamiaji haramu huliskii kwa Wakurya wa Tarime, Wachagga na haya Wamasai? Hivi mnajua pamoja na Wamasai kuwa kabila moja, wanachungiana tu mifugo na wale wa Kenya na Bongo wanajulikana? Mbona Wanyakyusa pia wapo Wazalendo? Kwann mipaka ya Magharibi tu ndio tatizo?
 
Nimemkuza wapi mtutsi mkuu!?
Embu nioneshe pahala nilipomkuza mtutsi?
Nimeelezea silka yao ikoje sijamsifu mtu mimi hapa.
Pia naona Wacha hii mada iishe it's over Kila mtu abaki na mtazamo wake.
Kheri nitakufa kabla haya hayajatokea.
Kinachokusumbua brother ni roho ya ubaguzi tu si kitu kingine. Tukikuuliza sababu ya kuwachukiwa watusi huna. Tunakuuliza je, hao watusi wanauwezo kutuzidi wewe mwenyewe unasema hujawakuza maana yake hawana uwezo huo.

Sasa tunakuuliza hofu yako ni nini? Unasema tuachane na topic hii kila mtu abaki na mtazamo wake 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Brother huna mtazamo wowote, unasumbuliwa na ignorance.
 
Mimi kuna kitu kimoja nashanhaa, hawa Wasukuma, Waha na Wahaya ndio wamekoda uzalendo namna hii? Mbona suala la wahamiaji haramu huliskii kwa Wakurya wa Tarime, Wachagga na haya Wamasai? Hibi mnajua pamoja na Wamasai kiwa kabila moja wanachungiana tu mifugo na wale wa Kenya na Bongo wanajulikana? Mbona Wanyakyusa pia wapo Wazalendo? Kwann mipaka ya Magharibi tu ndio tatizo?
Hilo hata mimi nakosa jibu kwakweli.
 
Wasukuma, Waha na Wahaya ndio wamekoda. 🤣🤣🤣🤣🤣 Brother jibu hoja acha kuhangaika.

Tatizo brother unajibu kwa mihemko bila kutafuta taarifa.

Jibuni hoja acheni kujificha kwenye kutukana makabila ya watu.
Waha ndio wanamziki bora hapa Tanzania.
Wahaya ndio wasomi wengi hapa Tanzania
Wasukuma ndio wachapakazi hapa Tanzania.

Shida yako dogo ni chuki zinakufanya uwe kipofu. Jibu hoja acha kukimbia. Halafu Hakuna Waha, Wahaya au Wasukuma waliokonda.
 
Hilo hata mimi nakosa jibu kwakweli.
Brother unasumbuliwa na ingnorace and separatism. Dunia sasa wanahubiri umoja. BRICS wanaendelea kuongeza umoja wao na sasa wanampango wa kuwa na currency yao. Europian Union unaweza kwenda kuajiriwa nchi yoyote.

Mkiwa Separated ndio kutishwa na wazungu na kuwekewa mashariti ya kijinga kijinga tu. Lakini mkiwa wamoja hakuna wa kuwatikisa.
 
Hata mie naona napoteza muda maana hapa naona hakuna mtu wa mjadala Kuna mbishani tu.
Wether iwe country ama nation hakuna kinacho exist vizuri kama hamtembei na ideology moja.
Nimemaliza mada end of discussion.
Muda mwingine ni kupoteza muda tu, hakuna Madai utaweza shindana na huyo mtu
 
Muda mwingine ni kupoteza muda tu, hakuna Madai utaweza shindana na huyo mtu
Hapa hatushindani tunajadiliana. Tatizo lako umekuja kushindana. Unapozidiwa hoja unajificha kwenye kivuli cha kushindana. Usilazimishe mawazo yako hayo ya kihafidhina yawe sahihi.

Leta hoja zenye mashiko utasikilizwa.
 
Dah hilo swali gumu kujibu mkuu,huwenda labda hizo nchi zilikua na mfumo wa capitalism nadhani ikawa rahisi kwao kumechi na Western world.
Mitazamo hubadilika, inafanyiwa propaganda kizazi kimoja tuu, kazi imeisha. kizazi kijacho kinaendeleza mapokeo. Ndicho kilichotokea nchi za Ulaya mashariki kutoka ujamaa kwenda ubepari ambao sasa umekuwa ufashisti.
 
Hata mie naona napoteza muda maana hapa naona hakuna mtu wa mjadala Kuna mbishani tu.
Wether iwe country ama nation hakuna kinacho exist vizuri kama hamtembei na ideology moja.
Nimemaliza mada end of discussion.
🚮 🚮
Nimekwambia vizuri kuwa:
having identical ideology kama watu ni jambo la kutengenezwa. Identical ideology haioti tu kama mti wala kutokea kwa bahati mbaya ni swala linalo tengenezwa kwa ustaadi mkubwa. Tanzania ni taifa na wakati wa uhuru hatukuwa hivi ideologically.

Ndio maana nakwambia, Ethiopia kuichagua CCM Tanzania kuwasaidia kwenye national project yao sio wapumbavu, wanatambua kwa kiasi gani kama taifa tumefanikiwa kwenye hili ili wao waige na wajenge la kwao na hatimae wawe na hii identical ideology unayoiita "ideology moja".
 
Unatatizo la uelewa.

Nilikuwa naeleza kuwa miradi tunayofanya ni nchi zenye GDP zaidi ya $400B tuu ndo zinafanya.

Nikahoji tuonesheni nchi zenye GDP ya $250B zinazofanya hivyo lakini mpaka sasa mmeshindwa.

Ni simple logic tuu, kama hakuna nchi zenye GDP ya $250B zinazoweza kufanya miradi ya Tz isipokuwa zile za GDP zaidi ya $400B, basi Tanzania nayo ipo kwenye kundi hilo la $400B
So if I approve you wrong Will you apologize for misleading statements?.. Lol
 
Brother unasumbuliwa na ingnorace and separatism. Dunia sasa wanahubiri umoja. BRICS wanaendelea kuongeza umoja wao na sasa wanampango wa kuwa na currency yao. Europian Union unaweza kwenda kuajiriwa nchi yoyote.

Mkiwa Separated ndio kutishwa na wazungu na kuwekewa mashariti ya kijinga kijinga tu. Lakini mkiwa wamoja hakuna wa kuwatikisa.
Mjadala nimeumaliza kaka tuendelee na mada zingine.
Pia huwenda hata huelewi muungano upi unazungumzia, muungano wa Brics ni WA international organization sio wa umoja wa states kama uliotaka ufanyike wewe.
Case closed bro tutizame mada zingine.
 
🚮 🚮
Nimekwambia vizuri kuwa:
having identical ideology kama watu ni jambo la kutengenezwa. Identical ideology haioti tu kama mti wala kutokea kwa bahati mbaya ni swala linalo tengenezwa kwa ustaadi mkubwa. Tanzania ni taifa na wakati wa uhuru hatukuwa hivi ideologically.

Ndio maana nakwambia, Ethiopia kuichagua CCM Tanzania kuwasaidia kwenye national project yao sio wapumbavu, wanatambua kwa kiasi gani kama taifa tumefanikiwa kwenye hili ili wao waige na wajenge la kwao na hatimae wawe na hii identical ideology unayoiita "ideology moja".
Unajua watu wanaposema Tz inaushawishi Afrika, wanadhani ni zile hotuba za Nyerere, watu wakisikiliza, wanacheka kama wako kwenye comedy club.

Nchi yetu ni king maker south of the Sahara. Kuanzia Sudan, Ethiopia, Nigeria, DRC, mpaka South Africa. kote huko kuna footprint zetu. Siyo hapo tuu hadi tuliiwezesha nchi moja kubwa duniani kuwa na kibesi UN.
 
Hawa vijana huku mitandaoni ni wengi wamezaliwa 1995/8 to 2000. Hawajui kuwa ni sisi ndio tumeipigania China kupata kiti umoja wa mataifa.
Hawa vijana wa Face book ni shida 🚮
 
Back
Top Bottom