President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,013
- 93,382
Brother unatukosea sana watanzania. Tanzania hatuamini katika ukomunisti. SInce the begining Tanzania ni socialist.Tanzania inaamini kwenye ukomunisti na Kenya kwenye ubepari.
Hata washirika ni tofauti, malengo ni tofauti.
Ndio ujue it is too late kuungana na tukafanya jambo.
Hilo lilitakiwa lifanyike kipindi nchi bado changa ziwekwe chini ya ideology moja na mtazamo mmoja.
Nchi zishakomaa na ideology zao binafsi uje uzibadili kwa kuziweka sehemu moja!?
Acheni utani,we huoni hata China anavyohangaika kwa Taiwan!?
Watu sijui hawalioni hili!
Unatakiwa kaka ujifunza tofauti ya Communism, Socialisim and Capitalism.
1. Ubepari: Mfumo wa Soko Huria na Umiliki Binafsi.
2. Ujamaa(Socialism): Umiliki wa Umma na Jukumu la Serikali.
3. Ukomunisti: Jamii Isiyo na Matabaka na Umiliki wa Pamoja.
Kaka usichanganye madesa. Sisi Tanzania ni wajamaa