Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu Kuna international organization,tutatue matatizo yetu na tuungane kupitia hizo international organization kama EAC,SADC n.k.
Kikubwa sera za hizi organization ziboreshwe tu.
Brother zimewahi kuwepo dynests nyingi zikapita. Na haya ya akina Kagame na wenzake yanapitwa na wakati. Kwa sasa jamii zinakuwa kama kijiji. Kwa sasa ushirikiano ni muhimu mno kuliko kutengana.

Ndio maana Kagame kajenga Petrol Stations zake hapa TZ na hakuna wa kumzuia. Moja ipo maeneo ya Dodoma inaitwa Olympiki
 
ATHARI KWA AFRIKA KUSINI ENDAPO NJIA YA MADINI YA DRC ITAPELEKWA TANZANIA
Afrika Kusini kwa miaka mingi imekuwa mlango mkuu wa madini kutoka Kusini na Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), hasa kupitia bandari ya Durban na Richards Bay, kwa kutumia njia ya reli kutoka Kasumbalesa → Zambia → South Africa. Hata hivyo, kuanzishwa kwa reli ya Lubumbashi–Kalemie na kukamilika kwa reli ya kisasa ya SGR kutoka Kigoma–Dar es Salaam ifikapo 2030, kuna uwezo wa kuhamisha sehemu kubwa ya biashara ya madini kutoka Afrika Kusini kwenda Tanzania.

1. Hali ya Sasa: Ushikaji wa Afrika Kusini Kwenye Sekta ya Usafirishaji wa Madini ya DRC

KipengeleMaelezo
Njia kuuLubumbashi → Kasumbalesa → Zambia → Beitbridge → Durban/Richards Bay
Mizigo inayopitiaCopper, cobalt, coltan, manganese
Thamani ya usafirishaji$2.5 – $3.5 bilioni kwa mwaka (export transit value)
Mapato ya bandariZaidi ya $200 milioni kwa mwaka (fees, port charges, handling)
Ajira zinazohusianaZaidi ya ajira 15,000+ katika bandari, reli, clearing agents

2. Hatari ya Kupoteza Soko kwa Afrika Kusini

Ikiwa Tanzania itakamilisha miundombinu yake na kufanikisha usafirishaji wa madini kutoka mashariki mwa DRC kupitia Kalemie–Kigoma–Dar es Salaam, Afrika Kusini inaweza:

Aina ya AthariMaelezo ya Athari
Upotevu wa mizigoTakriban 30–50% ya mizigo ya DRC inaweza kuhamia Tanzania
Mapato ya bandari kupunguaKushuka kwa hadi $100–$150 milioni kwa mwaka kwa bandari za Durban/Richards Bay
Kupungua kwa mapato ya reli ya Afrika Kusini (Transnet)Upungufu wa safari za mizigo za transit kupitia Beitbridge corridor
Upotevu wa mapato ya forodha (transit charges)Afrika Kusini na Zambia wataathirika kifedha kutokana na kupungua kwa transit cargo fees
Ajira hatariniZaidi ya 3,000–5,000 ajira kwenye bandari, usafirishaji, na clearing zitakuwa hatarini
Mahitaji ya mafuta kushukaMahitaji ya dizeli kwa ajili ya malori na reli ya mizigo yatashuka, kuathiri sekta ya mafuta ya ndani

3. Faida Kwa Tanzania, Hasara kwa Afrika Kusini

Athari kwa TanzaniaAthari kwa Afrika Kusini
Kupata mapato mapya ya transit ($200M+/y)Kupoteza sehemu ya mapato ya transit na forodha
Kuongeza ajira mpya katika Kigoma, Dar, na reliKupunguza shughuli bandarini na reli ya kusini
Kuimarika kwa nafasi ya kiuchumi kikanda (COMESA/EAC)Kupungua kwa nafasi ya Afrika Kusini kama "hub" ya kikanda
Kukuza biashara na ushawishi wa kijiografiaAfrika Kusini kushindwa kudhibiti ushawishi wa kiuchumi wa DRC mashariki

4. Mapendekezo kwa Tanzania:

  • Kamilisha SGR Kigoma kwa wakati.
  • Boresha Bandari ya Kigoma kwa kupokea meli za mizigo kutoka Kalemie.
  • Hakikisha usimamizi wa haraka wa mizigo (ICD, Customs OSBP).
  • Shirikiana na DRC kurahisisha matumizi ya reli ya Kalemie–Lubumbashi.
Je afrika kusini itakubali reli ya Lubumbashi mpaka kalemie ifufuliwe ( trc yupo kule anapambana reli inyanyuliwe upya)
 
Actualy wanahitaji wagon ferries za maana pia! Hayo yote ya juu uliyoandika GoT wanafanya!
 
Ishu afrika kusini itakubali kupoteza soko lake , vipi kuhusu Zambia ? Kumbuka hiyo reli hiyo ikifufuliwa Inaweza ikafa kifo kwa Zambia kwa namna nyingine
SA ikubali isikubali, market forces ndizo zitaamua! Umbali wa Durban Port na Dar port kutoka Lubumbashi-Kalemie ndio utaamua nani mshindi haswa tutakapokuwa na wagon ferries za kutosha za kuvushia mizigo Lake Tanganyika!
 
Hii ndiyo point ya msingi kabisa. Kuna watu wanakuwa na uoga ambao hauna maana yoyote. Deep down ni chuki zisizo na maana. Geza Ulole anamchukia Magufuli mpaka leo. Ukiuliza sababu hana sababu yoyote. Vita ya Banyamulenge huko Congo DR chanzo chake ni Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa za Banga baada ya kuwakataa Banyamulenge kuwa siyo sehemu ya nchi yake.
Geza hamchukii Magu bali anapingana na zana waliyonayo wavaa kobazi kuwa nchi hii makubwa yamefanywa na wana Haleluyah!
Ulaya, America, America Kusini na kwingineko kumejengwa na wana haleluyah. Hawa wengine wamekalia uijinga tu wa imani na kuvaa ushungi, chuki, ubaguzi na unafiki wakati darasa ni zero. 🚮 🚮
 
Brother zimewahi kuwepo dynests nyingi zikapita. Na haya ya akina Kagame na wenzake yanapitwa na wakati. Kwa sasa jamii zinakuwa kama kijiji. Kwa sasa ushirikiano ni muhimu mno kuliko kutengana.

Ndio maana Kagame kajenga Petrol Stations zake hapa TZ na hakuna wa kumzuia. Moja ipo maeneo ya Dodoma inaitwa Olympiki
dynests ndio nn?
 
Unachanganya kitu aisee bro.
Raia wa Rwanda Wana ideology tofauti na raia wa Tanzania.
Kuwachanganya watu wenye ideology tofauti chini ya bendera Moja ni ngumu sana.
Ndio hapo utajiuliza kwanini Kurdish hawakai chini ya bendera yeyote eidha Turkiye,Iran ama Syria.
 
Kwa hiyo, ukipanda mbegu leo itaota siku hiyo hiyo?
Masuala ya mbegu na kubadilisha ideology ni mambo mawili tofauti mkuu.
Kitu ideology ni ngumu sana.
Nakupa mfano ulio hai.
Kurdish ambao walikua watawala wa Khorasana walikataa katukatu kuwa chini ya himaya moja ya Ottoman,ilienda hivyo kukaa chini ya hiyo himaya walilazimishwa,ila himaya ilipovunjika waturuki wengine wote walikubali kuwa chini ya bendera ya nchi ya Uturuki,wafarsi wakawa chini ya bendera Moja ya Iran,ila wakurdi hawakukubali licha ya kubembelezwa na kulambwa magoti juu.
Hao hapo sasa hivi wanapigana kutafuta uhuru wa kurdi katika ardhi ya Iran,Iraq na Turkiye.
Ndio ujue ideology sio kitu rahisi kubadili.
 
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
 
Tanzania inaamini kwenye ukomunisti na Kenya kwenye ubepari.
Hata washirika ni tofauti, malengo ni tofauti.
Ndio ujue it is too late kuungana na tukafanya jambo.
Hilo lilitakiwa lifanyike kipindi nchi bado changa ziwekwe chini ya ideology moja na mtazamo mmoja.
Nchi zishakomaa na ideology zao binafsi uje uzibadili kwa kuziweka sehemu moja!?
Acheni utani,we huoni hata China anavyohangaika kwa Taiwan!?
Watu sijui hawalioni hili!
Tatizo kubwa la Kenya, hakuna nchi pale.

Nchi inaamini kwenye PESA tu.

Wakati Tanzania iko busy na wakoloni na wanyonyaji Kenya ilikuwa inafanya nao biashara.

Na hii tabia ya Kenya mpaka leo bado ipo.

M23 wanaopigana na serikali ya Congo, vikao wanafanyia Kenya, Gold smuggling (dhahabu ya magendo) kutoka Congo ni Kenya.

Kundi la Sudan linalopigana na serikali linafanyia vikao Kenya, hilo kundi silaha linapitishia Kenya, mpaka hivi karibuni Sudan akasusa kununua Chai ya Kenya.

Nchi wahuni wameshagawana kila kitu, na kuacha masikini wajipambanie tu.

Sasa hivi vijana wanasumbua, Ruto anawatafutia vibarua nje ya nchi ili watoke Kenya.

Nchi kama hiyo labda kama unaona matatizo uliyonayo hayakutoshi, unataka matatizo mengine.

View: https://x.com/AfroEconomicus/status/1931398085667659966?t=P6gjJR1orQ9bw7qWJMCY0w&s=19
 
Wakati Tanzania inaendelea na ujenzi Kenya imelala

Ndugu zangu wa Tanzania mnataka jengo la kihistoria la kiusanifu?

Jengo la Wizara ya Fedha lililopo Dodoma — linajengwa chini ya usimamizi wa kitaalamu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kama mkandarasi mshauri, limebuniwa na IPA Architects | Tanzania na kujengwa na Estim Construction Co. Ltd. — ni moja ya majengo ya kipekee yanayopamba uso wa makao makuu ya serikali ya Tanzania.

1752771884009.jpg
1752771886066.jpg
1752771887951.jpg
1752771890549.jpg
1752771893030.jpg
1752771896080.jpg
1752771898685.jpg
1752771901187.jpg
1752771903500.jpg
1752771905880.jpg
1752771908042.jpg
 
Tatizo kubwa la Kenya, hakuna nchi pale.

Nchi inaamini kwenye PESA tu.

Wakati Tanzania iko busy na wakoloni na wanyonyaji Kenya ilikuwa inafanya nao biashara.

Na hii tabia ya Kenya mpaka leo bado ipo.

M23 wanaopigana na serikali ya Congo, vikao wanafanyia Kenya, Fd smuggling kutoka Congo ni Kenya.

Kundi la Sudan linalopigana na serikali linafanyia vikao Kenya, hilo kundi silaha linapitishia Kenya, mpaka hivi karibuni Sudan akasusa kununua Chai ya Kenya.

Nchi wahuni wameshagawana kila kitu, na kuacha masikini wajipambanie tu.

Sasa hivi vijana wanasumbua, Ruto anawatafutia vibarua nje ya nchi ili watoke Kenya.

Nchi kama hiyo labda kama unaona matatizo uliyonayo hayakutoshi, unataka matatizo mengine.
Aisee ideology ni kitu ngumu sana kuibadili.
 
Back
Top Bottom