Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe andika kila kitu ila kuhusu kuungana na hizo nchi sahau brother.
Kaka mambo ya kuungana siyo ya utashi wako. Ni mwelekeo wa EAC. Na huu Muungano siyo kila mmoja ataupenda but jiandae kaka soon. Soma hapa

Kaka hiyo Collapse ya zamani mno. Ndio maana ilianzishwa tena. Changamoto zilizosababisha kuanguka zitatafutiwa ufumbuzi.
Soma hapa 👇 👇 👇
The East African Community (EAC) Political Federation, the fourth pillar and ultimate stage of the EAC integration agenda, has seen both progress and challenges over the past 25 years. This initiative aims to integrate the EAC Partner States into a single federated political entity to enhance regional stability, facilitate cooperation, and create a unified voice on the global stage.

Kaka usikimbie ukweli
East Africa Federation

View attachment 3408624
wcha ushamba wewe Congo Basin ni Bantu origin other ethnicities ni wahamiaji! End of story!
 
Wangetengeneza vituo vya LNG badala ya CNG hii ingeweza wafanya watu wa mabasi na malori kuanza kukimbilia kununua magari ya gesi, sababu LNG unaweza tembea mpaka km1000 kwa tenk moja kuliko CNG ambayo wastan ni km500.
tungefanikiwa kujenga hata vituo 4 kwa Kila mkoa kwa hii njia ya kati mpaka bukoba,kigoma na mwanza basi naamini tungeweza punguza manunuzi ya mafuta na matumizi ya dollar walau hata kwa 1/4 ya sasa.
Lakini Tpdc ibadilike na kaunza kufikiria kufungua vituo hata nje ya Tanzania kama Malawi,Zambia ,Rwanda na Burundi ili kutanua soko letu la gesi kama hawana mitaji wauze hisa watu wawekeze hela zao hapo
LNG mradi mdogo utaanza hivi kaributi surely wataweka tuu huko mbeleni.
 
wcha ushamba wewe Congo Basin ni Bantu origin other ethnicities ni wahamiaji! End of story!
Haja kuandika bullying words. Wewe kama unahoja leta. Mimi hapo nilikuwa naongelea EAC Federation je, majibu yako hayo yanahusiana na hoja yangu?

Acha hasira kaka, nimekuwekea link kutoka kwenye trusted source naomba ujibu hoja.
 
Kaka hiyo Collapse ya zamani mno. Ndio maana ilianzishwa tena. Changamoto zilizosababisha kuanguka zitatafutiwa ufumbuzi.
Soma hapa 👇 👇 👇
The East African Community (EAC) Political Federation, the fourth pillar and ultimate stage of the EAC integration agenda, has seen both progress and challenges over the past 25 years. This initiative aims to integrate the EAC Partner States into a single federated political entity to enhance regional stability, facilitate cooperation, and create a unified voice on the global stage.

Kaka usikimbie ukweli
East Africa Federation

View attachment 3408624
Hadi sasa Kuna changamoto chungumzima katika hii community still bado EAC Ina mianya kibao ya kurekebisha na haitakua healthy kuanzisha dola Moja na nchi zote hizo.
Matatizo ya hayo mataifa yatahamia kwetu tu.
 
Kaka mambo ya kuungana siyo ya utashi wako. Ni mwelekeo wa EAC. Na huu Muungano siyo kila mmoja ataupenda but jiandae kaka soon. Soma hapa

Hatuzungumzi kuhusu kupenda ama kutokupenda, tunazungumzia kuhusu aftermath ya huo muungano.
Tusichukulie vitu kiwepesi aisee.
Hizo nchi unazozitaja zina matatizo lukuki ambayo wenyewe yamewashinda,kama tukiwakaribisha chini ya bendera Moja basi mzozo utakua mkali sana.
 
Mmegundua nini kwenye hii video?
 
Hadi sasa Kuna changamoto chungumzima katika hii community still bado EAC Ina mianya kibao ya kurekebisha na haitakua healthy kuanzisha dola Moja na nchi zote hizo.
Matatizo ya hayo mataifa yatahamia kwetu tu.
Wahamie Tanzania na waache kuhamia DRC? Kaka hebu nakuomba uwe serious. Hebu nitajie akina nani hao.
Just Imagine, Mozambique, Angola, Sudan, Ethiopia zipo kwenye federation hii. Unadhani akina nani watahamia Tanzania na kuijaza na sisi tukakosa? Je, unawaogopa Luo? je, unawaogopa Tutsi? Unawaogopa Kikuyu?

WOGA WAKO NI NINI HASA?
 
Mmegundua nini kwenye hii video?
Nitafurahi sana siku boat za Bakhresa na Zanfast ferries zitaanza kwenda Mombasa!
 
Hatuzungumzi kuhusu kupenda ama kutokupenda, tunazungumzia kuhusu aftermath ya huo muungano.
Tusichukulie vitu kiwepesi aisee.
Hizo nchi unazozitaja zina matatizo lukuki ambayo wenyewe yamewashinda,kama tukiwakaribisha chini ya bendera Moja basi mzozo utakua mkali sana.
Haya ni mawazo yako. Lakini huo ndio mpango wa EAC mimi nimekuwekea maelezo official ambayo viongozi wa Tanzania wameyaridhia. Huo woga wako binafsi hauwezi kuzuia mpango. Unachotakiwa ni kujiandaa tu usije kukutwa hujajiweka sawa.
 
Ajira kwa Tanzania ni mfumo wetu wa ccm, laiti ingekuwa baadhi ya mambo wanaachilia hii keki ya taifa haitutoshelezi.
Mfano tu Leo ukitaka safirisha mchele kwenda nje tu vibali vyake si vya Dunia hii laiti ingekuwa kuna free market au kuna sera za kuwanufaisha wananchi Tanzania hatukupaswa kuwa na tatizo la ajira.
Kuruhusu watu kusafirisha mazao nje ya nchi bila vibali siyo solution ya tatizo la ajira.

Kwanza wanaosafirisha mazao kwenda nje wengi ni Wakenya.

Kuna mwaka niliona Mkenya alikodi ardhi Songwe mpaka watu wakakosa eneo la kulima akaanza kuwakodishia akiwa Kenya.

Utaahira.

Sasa hivi kuna Wakenya wanalima vitinguu, Mnag'ola kama siyo UTAAHIRA ni nini??
Leo hii ukizunguka karibia Kila shule za kijijin mahitaji ya waalimu ni zaid ya nusu ya walliopo, same to manesi,madaktari,wahasibu ila serikali inaajiri kidogokidogo sana.
Shida siyo ukosefu wa wataalamu. Shida yetu ni WAGE BILL.

Mapato ndio yanaendana na idadi ya watu wanaoajiriwa kwa sasa.
Hivi kwa mfano wakisema wapunguzze import duty kutoka 25% mpaka 20% then hii Tano ikaingizwa kwenye mfuko wa ajira
Sijakuelewa upunguze Import duty halafu upate tena pesa 5% uipate kutoka wapi wakati hum-charge importer??

Lakini pia kupunguza import duty, tafsiri yako unataka kugeuza taifa lako kuwa la kimachinga.

Ukishageuza taifa lako kuwa la kimachinga , maana yake unaua ajira, NSSF na uchumi.

Nchi inatakiwa kupambania Industrial manufacturing
then kwenye mazao yote ( ushuru) ukaweka introduce 20% kwenye ushuru uliokuwa unatozwa kwa ajili ya mfuko wa ajira then baada ya hapo ukaajiri maeneo yote yenye uhaba.
Maana utakapoongeza watu na mapato lazima yaongezeka.
Hapa sijakuelewa.

Kwenye mazao yote, mashambani au wapi?
Mfano ukiajiri vijana 200 kwa ajili kuhangaikia mapato kwa jiji kama dar es salaam tegemea mapato kupanda twice
Halmashauri zote zina vibarua wa mapato.

Nadhani wanaweza kwa zaidi ya hao 200 kwa Dar es Salaam.
 
Mimi nadhani LNG ndo ilitakiwa ipewe kipaumbele sana kuliko CNG ila anyway kama wataanza poa
sasa unaisafirishaje na unai-store (hifadhi) vp na unaitumiaje bila LNG kuwa CNG? unajua maana ya hizo terms? Na unatakaje mradi wa LNG tu bila local content? Kinachofanyika sasa ni kuondoa curse ya kusafirisha LNG nje bila kutumika ndani!
 
Lengo la Umoja wa East Afrika ni kuelekea kwenye East Africa Federation. Sasa kama hamuwataki hao watu kwanini mliwaruhusu kuwa kwenye EAC? Halafu ijulikane aliyeasisi EAC ni Tanzania. Mkapa aliwashawishi wenzake na kuanzishwa EAC baadae Burundi na Rwanda zikaongezwa.

Nadhani hapa mnakuwa na woga wa kitu ambacho hakipo.

Naomba unijibu umuhimu wa hao watu kuwa kwenye EAC.
Hiyo EAC ipo kwenye makaratasi tu na sio uhalisia, usije kutegemea ipo siku Africa itaungana, labda waafrika sisi wa kizazi hiki wote tufe alafu vijukuu vya wajukuu zetu ndiyo huenda wakaungana mana wakati huo watakuwa wameelimika vya kutosha na njaa haitakuwa wimbo wao. Hivi mkuu ngoja nikuulize, unategemea kuwa na EAC alafu mmoja wa members ni Kenya? Unategemea kuwa na EAC alafu mmoja wa members anaenda nje kutukana wenzie ili apate msaada?

Africa hakuna muungano wa kihivyo, tuna muungano wa kwenye makaratasi tu, kila mtu abaki kwao, wasituletee tabia zao za ajabu ajabu wakaambukiza vizazi vyetu.
 
Hadi sasa Kuna changamoto chungumzima katika hii community still bado EAC Ina mianya kibao ya kurekebisha na haitakua healthy kuanzisha dola Moja na nchi zote hizo.
Matatizo ya hayo mataifa yatahamia kwetu tu.
Dola moja ni uhuni.

Huwezi kuungana na watu ambao hawana cha ku-OFFER.

Nchi kama Kenya haina MSINGI wowote wa nchi.
  • Ardhi
  • Lugha
  • Sera mambo ya nje
  • BATUK, Camp Simba

Siku zote wanataka TZ ndio itoe.

Usenge.

===
Imagine, Rwanda, Kenya wanataka eti Ardhi iingizwe kwenye agenda za Jumuiya, kwamba raia yoyote ndani ya Jumuiya aruhusiwe kuhama na kuishi popote ndani ya Jumuiya.

Waseenge.

Wao hiyo ardhi WANAYO???
 
Back
Top Bottom