Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua kwann Mkuu wa Majeshi aliongea haya?

View: https://youtu.be/Vmg2WtLsIY4?si=JS6Xhb1fUsnQoUZr

Hamna upuuzi wa assimilation wengi wao wana id cards za walipotoka! Ndio maana Kagame ana jeuri sasa! BTW Sukumas r Bantus msituletee ujinga! Nilotic tribes Tanzania wanajulikana! Tanzania haina cushites ni wahamiaji !!

View attachment 3408334

View attachment 3408339

View attachment 3408340

Nakuongezea. Tutsi are Nilotic lakini wanazungumza Kibantu why? And why Tutsi are sometimes mixed with Kushite and Nilotic? Katika maeneo wanaokaa Watutsi hakuna jamii ya Kushite, Jamii ya Kushite unakuja kuipata Cetral Tanzania (Iraqw, Rangi and Nyaturu).

But majirani wa hao Kushite ni Nilotic ambao ni Masai na Datoga. Upande wa Magharibi Utakutana na Nyiramba, Sukuma and Nyamwezi wanaozungumza Kibantu.

Baada ya Kuwamaliza wasukuma Ukiwa unaelekea Magharibi unakutana na Tutsi. Tueleze sasa hapa.
 
Enyewe wewe ni ng'ombe. Mnasikia tu $450 B hamjui hiyo ni pesa kiasi gani. Tulieni na hako ka GDP ka $85B mfanye bidii labda mtafika $100B by 2030.
Wacha nikupe mfano. Hii Iran ambayo wenzako wamekuwa wakiishobokea ina GDP ya $341B pekee. Iran yenyewe hiyo imetoa USA na Israel kijasho. Iran yenyewe ina population ya 91M which waay more than Bongoslum. Sasa kulingana na wewe hii bongoslum moja ambayo naijua imeishinda Iran kiuchumi? Hivi una akili wewe? 🤣 🤣

Hapa ona capital ya Iran. Unaweza linganisha Darislum na hii?.
1024px-North_Tehran_Towers.jpg

Tehran-1024x683.jpeg.webp

Mji wa pili wa Iran huu. Sasa useme Mwanza ulinganishe na Mashdad
1280px-Aerial_View_of_Koohsangi_street%2C_Mashhad%2C_Iran.png

Mji wa tatu huu, ati sasa Arusha ulinganishe na Isfahan
4517315.jpg

Nchi nyengine hii hapa ni Columbia. GDP $427B ingawa population kidogo chini ya Bongoslum but according to you, mko ligi moja na Columbia. 🤣🤣🤣
Bogota, Columbia
1280px-Bogota_SkyIine.jpg
92920BE9-2C5B-425F-9843732EB24D0A2D

Mji wa pili Medellin. Ati sasa ulinganishe na Mwanza.🤣🤣🤣
medellin-offers-a-higher-quality-of-life-than-other-cities-in-latin-america-1536x1024.jpg

Mji wa tatu huu Cali eti sasa ulinganishwe na Arusha.🤣🤣🤣
1280px-Santiago_de_Cali.jpg

Alafu nikikuita mwendawazimu uniita mbaya. mwaiofhawaii kuja uchukue hii ng'ombe uipeleke malishoni bwana. 🤣🤣🤣
Kiuhalisia panua ubongo wako.
Kwa project anazofanya Iran ni ya kuwa na GDP ya $300 billions!?
Panua ubongo kidogo.
Miradi anayofanya Iran ni mara mbili ya hiyo GDP ama mara 3,kuanzia Air defense system projects, military drones projects, nuclear projects, missiles projects ni zaidi ya hiyo GDP.
Na Iran haikopi popote pesa haikopi ng'oo,hapo hapo inafadhili Hizbollah zaidi ya $50 billions kwa mwaka, inafadhili Houthi zaidi ya $ 50 billions kwa mwaka.
Mkiambiwa mfikirie out of box hamtaki.
 
Nakuongezea. Tutsi are Nilotic lakini wanazungumza Kibantu why? And why Tutsi are sometimes mixed with Kushite and Nilotic? Katika maeneo wanaokaa Watutsi hakuna jamii ya Kushite, Jamii ya Kushite unakuja kuipata Cetral Tanzania (Iraqw, Rangi and Nyaturu).

But majirani wa hao Kushite ni Nilotic ambao ni Masai na Datoga. Upande wa Magharibi Utakutana na Nyiramba, Sukuma and Nyamwezi wanaozungumza Kibantu.

Baada ya Kuwamaliza wasukuma Ukiwa unaelekea Magharibi unakutana na Tutsi. Tueleze sasa hapa.
Tutsi r Bantus wacha ujinga! Ethnicity ni kitu hujui!
 
Tutsi r Bantus wacha ujinga! Ethnicity ni kitu hujui!
No. Tutsi are not Bantu kwa sifa zote lakini wanazungumza lugha ya kibantu. Taja sifa moja kuthibitisha kuwa Tutsi are Bantu. Tutsi are Nilotic mixed kwa mbali na Cushite. Huu ni ukweli mchungu watu hawataki kuukubali. Ndugu zao ni Datoga.
 
Wadachi ni Waholanzi!
Wewe ungekuwa timu ya taifa ya mpira, unge tuheshimisha sana. Ligi zako ni za kipekee sana 😂 😂

  • "The term "Dutch" has roots in the Proto-Germanic word *þiudiskaz, which evolved into Old Dutch "Dietsch" and Old English "þeodisc," all meaning "(of the) common (Germanic) people"
  • "Both German and Dutch are Germanic languages, meaning they share a common ancestor and have some similarities. The word "Dutch" in English actually derives from a Proto-Germanic word meaning "of the people," which is also related to the German word "Deutsch".
  • "Historically, the areas that are now the Netherlands and Germany were part of a larger region with fluid borders, and the term "Dutch" was sometimes used more broadly to refer to people from Germanic-speaking areas"
 
Why Comoros not Burundi and Rwanda. Au kwasababu Comoros wanauhusiano na waarabu?
Mnaogopa bure tu. Burundi and Rwanda were once part of Tanganyika.
We were kipindi kile Cha tawala za uchifu sio sasa.
Hao watu wakorofi na walalamishi na watu wa rudeness na arrogance HUWEZI ukaiva nao chungu Moja.
Wala sijawakubali Comoros kisa ya uhusiano na waarabu,bali nawakubali kwasababu wapole na wenye mshikamano sio kama hao watutsi na wahutu.
 
Wewe ungekuwa timu ya taifa ya mpira, unge tuheshimisha sana. Ligi zako ni za kipekee sana 😂 😂

  • "The term "Dutch" has roots in the Proto-Germanic word *þiudiskaz, which evolved into Old Dutch "Dietsch" and Old English "þeodisc," all meaning "(of the) common (Germanic) people"
  • "Both German and Dutch are Germanic languages, meaning they share a common ancestor and have some similarities. The word "Dutch" in English actually derives from a Proto-Germanic word meaning "of the people," which is also related to the German word "Deutsch".
  • "Historically, the areas that are now the Netherlands and Germany were part of a larger region with fluid borders, and the term "Dutch" was sometimes used more broadly to refer to people from Germanic-speaking areas"
Germanic refers to languages just like latin!
 
Why Comoros not Burundi and Rwanda. Au kwasababu Comoros wanauhusiano na waarabu?
Mnaogopa bure tu. Burundi and Rwanda were once part of Tanganyika.
Burundi ina watu 14M

Rwanda ina watu 14M

Burundi inalingana ukubwa na Tanga, yenye watu 2M

Nchi karibu zote za Sourthen africa, East Africa isipokiwa TZ na Ugamda zina tatizo kubwa sana la ardhi.

Ukiruhusu watafuta vibarua wajae, utawafanyaje??

TZ tu kuna kundi kibwa la vijana hawana kazi, wanafanya bodaboda mijini, mawinga, wametapakaza vibanda kila kona mjini kufanya umachinga ili waishi.

Huwezi kuruhusu tena kubeba mzigo wa watu wa aina hiyo hiyo.

Kama ni wahamiaji, labda SKILLED IMMIGRANTS.

Huwezi kuwa una matatizo chungu nzima then unataka kubeba matatizo mengine.

Kwa mifumo ipi, Hospitaki zako zenyewe mpaka leo unapambana na matibabu bure, shule, zimezidiwa, mikopo elimu ya juu, uzalama haueleweki halafu inadhani unaweza kumimiliki kundi kubwa la wahamiaji.

Kwanza nchi kama Rwanda hawana urafiki na wowote.
 
Back
Top Bottom