Kuna watu wapuuzi sana humu ndani! Yaani watu wanjitamba ku-assimilate makabila mengine yaliyoingia nchini kinyemela! Huo ni uzalendo kweli? Ndio maana serikali inakaza sana kuwapa vitambulisho watu wa pande zile! Wapuuzi sana na kama tatizo litatokea Tanzania ni rahisi kuona litaanzia wapi!Burundi ina watu 14M
Rwanda ina watu 14M
Burundi inalingana ukubwa na Tanga, yenye watu 2M
Nchi karibu zote za Sourthen africa, East Africa isipokiwa TZ na Ugamda zina tatizo kubwa sana la ardhi.
Ukiruhusu watafuta vibarua wajae, utawafanyaje??
TZ tu kuna kundi kibwa la vijana hawana kazi, wanafanya bodaboda mijini, mawinga, wametapakaza vibanda kila kona mjini kufanya umachinga ili waishi.
Huwezi kuruhusu tena kubeba mzigo wa watu wa aina hiyo hiyo.
Kama ni wahamiaji, labda SKILLED IMMIGRANTS.
Huwezi kuwa una matatizo chungu nzima then unataka kubeba matatizo mengine.
Kwa mifumo ipi, Hospitaki zako zenyewe mpaka leo unapambana na matibabu bure, shule, zimezidiwa, mikopo elimu ya juu, uzalama haueleweki halafu inadhani unaweza kumimiliki kundi kubwa la wahamiaji.
Kwanza nchi kama Rwanda hawana urafiki na wowote.
Huyu hapa ni Hadzabe lakini anazungumza deep Sukuma/Nyamwezi. Unaweza ukatoa maelezo?
View: https://vm.tiktok.com/ZMStJA2Xu/
wewe ni mtu wa Anthropology sio?No. Tutsi are not Bantu kwa sifa zote lakini wanazungumza lugha ya kibantu. Taja sifa moja kuthibitisha kuwa Tutsi are Bantu. Tutsi are Nilotic mixed kwa mbali na Cushite. Huu ni ukweli mchungu watu hawataki kuukubali. Ndugu zao ni Datoga.
Wewe sasa ndiyo ng'ombe pro, kwahiyo wewe unaamini Iran ina GDP ya $341B? Ok, ngoja nikuulize tena, hv unaamini North Korea ina GDP ya $23B? Kwnn nyie wakenya hamna akili kiasi hiki? Wewe kwa akili zako za king'ombe unaamini Kenya inaikaribia NK kwa GDP?Enyewe wewe ni ng'ombe. Mnasikia tu $450 B hamjui hiyo ni pesa kiasi gani. Tulieni na hako ka GDP ka $85B mfanye bidii labda mtafika $100B by 2030.
Wacha nikupe mfano. Hii Iran ambayo wenzako wamekuwa wakiishobokea ina GDP ya $341B pekee. Iran yenyewe hiyo imetoa USA na Israel kijasho. Iran yenyewe ina population ya 91M which waay more than Bongoslum. Sasa kulingana na wewe hii bongoslum moja ambayo naijua imeishinda Iran kiuchumi? Hivi una akili wewe? 🤣 🤣
Hapa ona capital ya Iran. Unaweza linganisha Darislum na hii?.
![]()
![]()
Mji wa pili wa Iran huu. Sasa useme Mwanza ulinganishe na Mashdad
![]()
Mji wa tatu huu, ati sasa Arusha ulinganishe na Isfahan
![]()
Nchi nyengine hii hapa ni Columbia. GDP $427B ingawa population kidogo chini ya Bongoslum but according to you, mko ligi moja na Columbia. 🤣🤣🤣
Bogota, Columbia
![]()
![]()
Mji wa pili Medellin. Ati sasa ulinganishe na Mwanza.🤣🤣🤣
![]()
Mji wa tatu huu Cali eti sasa ulinganishwe na Arusha.🤣🤣🤣
![]()
Alafu nikikuita mwendawazimu uniita mbaya. mwaiofhawaii kuja uchukue hii ng'ombe uipeleke malishoni bwana. 🤣🤣🤣
Waambie mradi wa kuunda nuke weapons unagharimu kiasi gani.Wewe sasa ndiyo ng'ombe pro, kwahiyo wewe unaamini Iran ina GDP ya $341B? Ok, ngoja nikuulize tena, hv unaamini North Korea ina GDP ya $23B? Kwnn nyie wakenya hamna akili kiasi hiki? Wewe kwa akili zako za king'ombe unaamini Kenya inaikaribia NK kwa GDP?
Mkuu mbn mnaongea mambo makubwa na mazito in a very simple way? Hivi unaijua hatari ya kuruhusu wageni kuingia nchini kwetu na kuishi pasipo kufuata utaratibu? Hizo nchi ulizozitaja zinasifika kwa fujo na ushenzi wa kila aina, je unataka walete damu yao ya ushetani huku kwetu na tuwaache tu? Leo hii ukienda pale taifa kuna lundo la watoto wa mitaani na wananusa gundi pia ni wezi kama wale chokoraa wa Kenya, na hao watoto wanatokea Burundi kupitia kigoma. Wageni wasiruhusiwe kuingia kiholela, wabaki kwao wasituletee tabia zao za ajabu ajabu huku kwetu.Wakiingia bongo watakutana na mifumo ambayo ipo established karne na karne. Watamezwa na mfumo huo na baada ya miaka watapotelea kwenye mfumo huo.
Abishe hapa alafu na mm nimletee miji ya NK yenye GDP ya $23B zen tulinganishe na vumbi zao.Waambie mradi wa kuunda nuke weapons unagharimu kiasi gani.
Mfano tuu tuweke dollar 3bn za julius nyerere hydro power unapata gorofa ngapi za 50 floors Dar es salaam pamoja na miundombinu yake? Chukua pia USD 300m za daraja la magufuli unapata majengo mangapi na miundombinu mji wa Mwanza? Bado hatujaweka hela zilizoenda kwenye SGR, Tanga, Mwanza, Kigoma na Lake nyasa ports pamoja na meli zake kwenye hesabu. Hawa kima wasituchezee sisi sio level yao kabisa.Kwa miradi tuliyojenga tutaamua kuwekeza kwene facelifts za cities zetu, hakuna taifa la kushindana na Tz hapa EA.
CCM tena mkuu 🤣🤣🤣Halafu mimi naona Burundi, Rwanda na Comoros tuongee nao Tuwe nchi moja wajiunga kwenye United Republic of Tanzania. Haya ni mawazo yangu na CCM kiwe chama Tawala.
Jamaa anazingua sana, kawa mjuaji kwenye hilo swala hadi anaharibu.Mkuu mbn mnaongea mambo makubwa na mazito in a very simple way? Hivi unaijua hatari ya kuruhusu wageni kuingia nchini kwetu na kuishi pasipo kufuata utaratibu? Hizo nchi ulizozitaja zinasifika kwa fujo na ushenzi wa kila aina, je unataka walete damu yao ya ushetani huku kwetu na tuwaache tu? Leo hii ukienda pale taifa kuna lundo la watoto wa mitaani na wananusa gundi pia ni wezi kama wale chokoraa wa Kenya, na hao watoto wanatokea Burundi kupitia kigoma. Wageni wasiruhusiwe kuingia kiholela, wabaki kwao wasituletee tabia zao za ajabu ajabu huku kwetu.
Mbona mnawapa sifa sana hawa watu? Hao watu ni mdebwedo. Hata ule mgogoro ndani ya DRC aliuanzisha Mobutu.Burundi ina watu 14M
Rwanda ina watu 14M
Burundi inalingana ukubwa na Tanga, yenye watu 2M
Nchi karibu zote za Sourthen africa, East Africa isipokiwa TZ na Ugamda zina tatizo kubwa sana la ardhi.
Ukiruhusu watafuta vibarua wajae, utawafanyaje??
TZ tu kuna kundi kibwa la vijana hawana kazi, wanafanya bodaboda mijini, mawinga, wametapakaza vibanda kila kona mjini kufanya umachinga ili waishi.
Huwezi kuruhusu tena kubeba mzigo wa watu wa aina hiyo hiyo.
Kama ni wahamiaji, labda SKILLED IMMIGRANTS.
Huwezi kuwa una matatizo chungu nzima then unataka kubeba matatizo mengine.
Kwa mifumo ipi, Hospitaki zako zenyewe mpaka leo unapambana na matibabu bure, shule, zimezidiwa, mikopo elimu ya juu, uzalama haueleweki halafu inadhani unaweza kumimiliki kundi kubwa la wahamiaji.
Kwanza nchi kama Rwanda hawana urafiki na wowote.
Miwa yenyewe waitoe wapi hata serikali yao imepiga marufuku uzalishaji wa sukari kwa muda maana miwa hamna hadi inapelekea kuvuna miwa michanga.Unajaribu kulinganisha vidakwa/ vikogwa na Embe dodo.? KSC ltd ni kampuni kubwaa inazalisha sukari tani 120k annually una jaribu kulinganisha na mabati ya hako kadubwana mnajenga sahii.? 🤣🤣 👇🏾 Home - Kilombero Sugar Company - An Illovo Sugar Africa Company.
wewe ni mtu wa Anthropology sio?
View: https://youtu.be/447-YsIHdZI?si=i6-qg_OuzLxw12jc
Cushites Great Lakes Region ni Wahamiaji1 Pia Tanzania ni wahamiaji!
For them what mzungus says is always right. Iran haitegemei WB wala IMF na economy yao hawalazimiki ku share data same with North Korea chumi zao ziko juu than what is being portrayed by WB and IMF.Kiuhalisia panua ubongo wako.
Kwa project anazofanya Iran ni ya kuwa na GDP ya $300 billions!?
Panua ubongo kidogo.
Miradi anayofanya Iran ni mara mbili ya hiyo GDP ama mara 3,kuanzia Air defense system projects, military drones projects, nuclear projects, missiles projects ni zaidi ya hiyo GDP.
Na Iran haikopi popote pesa haikopi ng'oo,hapo hapo inafadhili Hizbollah zaidi ya $50 billions kwa mwaka, inafadhili Houthi zaidi ya $ 50 billions kwa mwaka.
Mkiambiwa mfikirie out of box hamtaki.
Hapa ndio unakubaliana na mimi kuwa Sukuma siyo Tribe.so? kwani hamna Wanyakyusa wanazungumza Kisukuma? Kama wameishi Usukumani?
Lengo la Umoja wa East Afrika ni kuelekea kwenye East Africa Federation. Sasa kama hamuwataki hao watu kwanini mliwaruhusu kuwa kwenye EAC? Halafu ijulikane aliyeasisi EAC ni Tanzania. Mkapa aliwashawishi wenzake na kuanzishwa EAC baadae Burundi na Rwanda zikaongezwa.Mkuu mbn mnaongea mambo makubwa na mazito in a very simple way? Hivi unaijua hatari ya kuruhusu wageni kuingia nchini kwetu na kuishi pasipo kufuata utaratibu? Hizo nchi ulizozitaja zinasifika kwa fujo na ushenzi wa kila aina, je unataka walete damu yao ya ushetani huku kwetu na tuwaache tu? Leo hii ukienda pale taifa kuna lundo la watoto wa mitaani na wananusa gundi pia ni wezi kama wale chokoraa wa Kenya, na hao watoto wanatokea Burundi kupitia kigoma. Wageni wasiruhusiwe kuingia kiholela, wabaki kwao wasituletee tabia zao za ajabu ajabu huku kwetu.
watakuambia Kenya GDP yake ni 6 times ya North Korea 😂😂😂njoo kwa ground sasa hata kutengeneza mzinga mmoja wa kuruka 5km hawawezi halafu linganisha miji ya NK na Kenya uone kituko. Wealth is visible sio kwenye makaratasi.Wewe sasa ndiyo ng'ombe pro, kwahiyo wewe unaamini Iran ina GDP ya $341B? Ok, ngoja nikuulize tena, hv unaamini North Korea ina GDP ya $23B? Kwnn nyie wakenya hamna akili kiasi hiki? Wewe kwa akili zako za king'ombe unaamini Kenya inaikaribia NK kwa GDP?
Comoros hawako wengi sana kwahiyo hata biashara sio kivile sana.Aaah hapana Rwanda na Burundi hapana,iwe tu Comoros.
Hizo Rwanda na Burundi ni vizazi korofi sishauri hata kidogo.