Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
Wadachi ni Waholanzi!Lol sio Wadachi pia, you can be so petty! 😂 😂
Wadachi ni Waholanzi!Lol sio Wadachi pia, you can be so petty! 😂 😂
You know you are liar liar pants on fire on this one !..unasema all that Uswazi is gone… come on mane!Hii ni picha pendwa ya kujipa faraja ya bwana Nicxie 👇🏾hii ni magomeni View attachment 3408143anyways.. I would like to update him .. this is the current view 👇🏾View attachment 3408144
Brother huko Congo DRC hakuna Tribes strong zenye own Identity kama Tanzania. Tafuta kitu kinaitwa Sukuma Assimilation of Tutsi and Hutu. Wote hao wakivuka watamezwa na Sukuma Tribe na wanapoteza Identity yao na baada ya miaka kadhaa wanakuwa Wasukuma.mbona eastern DRC hawajawameza? Tangu Mbelgiji?
Wakiingia bongo watakutana na mifumo ambayo ipo established karne na karne. Watamezwa na mfumo huo na baada ya miaka watapotelea kwenye mfumo huo.mbona eastern DRC hawajawameza? Tangu Mbelgiji?
Mbona picha zinajielezea zenyewe mkuu.? Nini mbaya.?You know you are liar liar pants on fire on this one !..unasema all that Uswazi is gone… come on mane!
Unajua kwann Mkuu wa Majeshi aliongea haya?Brother huko Congo DRC hakuna Tribes strong zenye own Identity kama Tanzania. Tafuta kitu kinaitwa Sukuma Assimilation of Tutsi and Hutu. Wote hao wakivuka watamezwa na Sukuma Tribe na wanapoteza Identity yao na baada ya miaka kadhaa wanakuwa Wasukuma.
Mimi naona hakuna shida waje tu.
Sukuma/Nyamwezi Tribe ni Muunganiko wa Bantu, Nilotic and Kushite ndio unapata hiyo (Sukuma/Nyamwezi).
Nilotic = Datoga (Barabaig, Taturu) and Tutsi
Kushite = Nyaturu, Iragw and Rangi.
Hawa ndio walioungana na kutengeneza kabila la Wasukuma/Nyamwezi.
Kama unataka kuelewa soma ki undani zaidi kuhusu Sukuma.
1. Bantu Tribes siyo wafugaji, But Sukuma ni wafugaji Why?
2. Nilotic Tirbes siyo wakulima, But Sukuma ni wakulima Why?
Bantu and Nilotic are patrilineal. But Sukuma/Nyamwezi are Both patrilineal and matrilineal
Kushite are matrilineal
Namna gani Sukuma/Nyamwezi are Both patrilineal and matrilineal:
1. Surname ya Mwanamke ni ya Baba yake, Surname ya Mwanaume ni ya Mama yake (eg Neema Musa, John Mariam)
2. Inheritance: Mtoto wa Kiume huwa anarithi Mali, Mtoto wa Kike huwa anarith Utawala.
KWAHIYO HAO KUTOKA BURUNDI NA RWANDA HAWANA SHIDA YOYOTE Imekuwa ikifanyika hivyo miaka na miaka na hakuna shida
Using Occam’s razor theory, I know you wanna me talk about your new shoes . Ok there you go . We all know you bought new shoes. Happy now?.. I hope that floats your boat..🤣🤣🤣🤣
West valley sugar factory, Kericho county under construction..Kilombero sugar factory 👇🏾View attachment 3408337View attachment 3408335
Unajua kwann Mkuu wa Majeshi aliongea haya?
View: https://youtu.be/Vmg2WtLsIY4?si=JS6Xhb1fUsnQoUZr
Hamna upuuzi wa assimilation wengi wao wana id cards za walipotoka! Ndio maana Kagame anajeuri! BTW Sukumas r Bantus msituletee ujinga! Nilotic tribes Tanzania wanajulikana! Tanzania haina cushites ni wahamiaji1
View attachment 3408334
Using Occam’s razor theory, I know you wanna me talk about your new shoes . Ok there you go . We all know you bought new shoes. Happy now?.. I hope that floats your boat..🤣🤣🤣🤣
Capacity? Huwezi kufananisha Kilombero sugar na vitu vya ajabu ajabu!West valley sugar factory, Kericho county under construction..
View attachment 3408343
Unajua kwann Mkuu wa Majeshi aliongea haya?
View: https://youtu.be/Vmg2WtLsIY4?si=JS6Xhb1fUsnQoUZr
Hamna upuuzi wa assimilation wengi wao wana id cards za walipotoka! Ndio maana Kagame ana jeuri sasa! BTW Sukumas r Bantus msituletee ujinga! Nilotic tribes Tanzania wanajulikana! Tanzania haina cushites ni wahamiaji !!
View attachment 3408334
View attachment 3408339
View attachment 3408340
Unajaribu kulinganisha vidakwa/ vikogwa na Embe dodo.? KSC ltd ni kampuni kubwaa inazalisha sukari tani 120k annually una jaribu kulinganisha na mabati ya hako kadubwana mnajenga sahii.? 🤣🤣 👇🏾 Home - Kilombero Sugar Company - An Illovo Sugar Africa Company.West valley sugar factory, Kericho county under construction..