Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,689
- 107,131
even Algeria! Its over $260 bln! BTW siku tukianza ujenzi wa LNG nadhani hawa mapunda watakimbia! imagine over $40+ bln of investment!Are you insane?
Qatar to have GDP below $250 billions?
Bro you are not okay upstairs.
Nadhani kisu kimegonga kwenye mfupa. Na sisi tulitaka azilete nchi hizo. Now Battle ya Kenya na Tanzania closed by mwaiofhawaiiMkuu wala usimuulize sana.
Hapo tayari somo la geoeconomics limemtupa nje.
Miradi inayofanya Qatar ni more than $300 billions hivi kwa akili ya kawaida ndio ukae uamini nominal GDP ya Qatar ni $240 billions!?
Hizi pesa za hapo juu ndizo Qatar ilimfadhili warlord Khalifah Haftar pale Libya.
Wakenya akili zao haifanyi uchanganuzi zinabeba na kumeza pasi na kuchuja.
Akili zao zimeganda sababu ya kukulia kwenye nyumba za bati,mkunya akiongea broken english yake tayari anajiona tajiri 😃Uzuri hatuna njaa isitoshe tuna varieties na food surplus nyie matajiri sasa ndio mnaokota punje za mahindi barabarani zilizoanguka toka kwenye malori yaliyotoka kwa maskini 🤣🤣🤣
Ndio maana kuna mwanauchumi wa Asia nimemsahau jina alisema hizi takwimu za GDP ni fictious,mathalan piga mfano per Capita,hii pesa hawapewi wananchi kama wananchi ni mahesabu tu yamepigwa kwa kugawanya nominal GDP na idadi ya raia.Nadhani kisu kimegonga kwenye mfupa. Na sisi tulitaka azilete nchi hizo. Now Battle ya Kenya na Tanzania closed by mwaiofhawaii
Kwa sasa ni Tanzania vs Qatar
Geza is always aggressive, I don't why!Come down buda! 😂
Mine was just an opinion, not recommendation.
Capital of Africa 🌍 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mungu tusaidie tuu tunacheka kama mazuri vile
GDP inasaidia wakopeshaji kujua ,wakupe mkopo au wasikupe.Ndio maana kuna mwanauchumi wa Asia nimemsahau jina alisema hizi takwimu za GDP ni fictious,mathalan piga mfano per Capita,hii pesa hawapewi wananchi kama wananchi ni mahesabu tu yamepigwa kwa kugawanya nominal GDP na idadi ya raia.
Vivyo hivyo wewe fikiria aisee,miradi ya Qatar pesa zake Kesha useme Qatar GDP yake ni 240 billions aiseee?😂😂😂😂Ilhali hizo pesa alipewa Khalifa Haftar aendeshe vita Libya kuondoka serikali upinzani wa Gaddafi.
Kuna watu bado hilo hawalifahamu.GDP inasaidia wakopeshaji kujua ,wakupe mkopo au wasikupe.
Hakuna faida nyingine.
Ndio maana WB na IMF ndio wanaotoa hizo metrics,
Na siku hiz wameanza kuwa wajanja hawaangalii GDP, wanatumia REVENUE kama uwezo wako wa kulipa DENI.
I don't think my argument was clear to you. Please take another look.Chamoto , I don’t like challenging you as you already know but I am sure you didn’t do enough research on this one. I know off head many advanced nations with GDP under 250 billion. I can give you examples
Qatar
Kuwait
Luxembourg
Croatia
Even Algeria in Africa ( they are Egyptian rivals)
I can go on ….
Please Google major projects in each of these countries and come back to proceed..
😂😂Third largest city??View attachment 3407357
I didn't know you are this deluded! eti GDP ya Tanzania ni $400B!!, kiuhalisia!, itakua wewe ni miongoni mwa wale wabunge wenu walai hehehehe.., then justifying by "huge projects u are doing" eti it's the picture ya GDP!.., Aliko Dangote built a very big refinery in Nigeria, yet the GDP shrunk further.., boss!!!!Mi naona hata ku quadruple inawezekana, haya mambo ya maendeleo huwa ni exponential, yakianza yanasambaa haraka.
Tukiwa na watu makini ndani ya miaka 10 watu wataishangaa Tz.
Kumbuka uhalisia wa uchumi wetu ni zaidi ya $400B, japo kwenye makaratasi hauoneshi. Mambo tunayo yafanya hakuna nchi yenye GPD ya 250B iliyowahi kufanya.
Unaitaji matibabu. Hii yako ni ugonjwa.Nitajie nchi yoyote duniani yenye GDP chini ya $250B, ambayo kwa pamoja, inajenga madaraja, mji mpya from scratch, reli, dam, kununua ndege cash, huku ikiwa na food security zaidi ya 100%, ikilipa mishahara bila shida, huku ikisomesha watoto mpaka sekondari bure.
Reasoning ya The best 007 na Sama boy 255 hii., hehehehehehe..,Nitajie nchi yoyote duniani yenye GDP chini ya $250B, ambayo kwa pamoja, inajenga madaraja, mji mpya from scratch, reli, dam, kununua ndege cash, huku ikiwa na food security zaidi ya 100%, ikilipa mishahara bila shida, huku ikisomesha watoto mpaka sekondari bure.