Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi data ulizoleta zilifanyiwa kazi kuanzia mwaka 2011 mpaka zinakua kua published mwaka 2020 sasa inakataa nini we kilaza wa Kericho?
Does that change anything? Does it change any fact in that report? Ama kama kawaida ni data za wakoloni? 😂😂
 
Hebu tueleze maana mwezi huu wote unaongelea Umaskini. Tuambie umaskini upi upo Tanzania? Kwikwikwikwikwikwi

Au unaongelea yale mapendekezo ya wazungu ya kwenye vitabu vyao?
I was expecting this and was even wondering why it was taking you too long
 
Does that change anything? Does it change any fact in that report? Ama kama kawaida ni data za wakoloni? 😂😂
Hayo madai sio sahihi na wala hakuna sehemu wamesema Tanzania is the poorest in East Africa. Hata mtoto mdogo akisikia atakushangaa na kukuona mwehu. Ni ubongo wako finyu ndio umedadavua hivyo baada ya kushindwa kuelewa chat iliyotolewa miaka zaidi ya 6 iliyopita. Tumia akili ndogo,;

Ingia Google au search engine yoyote unayoijua then andika "what are the poorest countries in East Africa?" Alafu ukipata sehemu imetajwa Tanzania njoo uoneshe hapa.
Somo la kutumia akili liliwashinda miaka mingi jirani zetu.
 
Tanzania has never been poor in the region, and that will never happen bro. Where is South Sudan, Burundi and DRC??
Can't you use your common sense bro? Huu ujinga ndo mnafundishwa huko Nyeri?
So you want me to believe your words, reasoning and thinking ukiwa hapo Tandale nisiamini data ya experts from World Bank?

Why do you hate data that paints your country negatively while agree with those that paint your country positively even if these data come from the same source? Is this what blind patriotism has done to your brains?
 
Hayo madai sio sahihi na wala hakuna sehemu wamesema Tanzania is the poorest in East Africa. Hata mtoto mdogo akisikia atakushangaa na kukuona mwehu. Ni ubongo wako finyu ndio umedadavua hivyo baada ya kushindwa kuelewa chat iliyotolewa miaka zaidi ya 6 iliyopita. Tumia akili ndogo,;

Ingia Google au search engine yoyote unayoijua then andika "what are the poorest countries in East Africa?" Alafu ukipata sehemu imetajwa Tanzania njoo uoneshe hapa.
Somo la kutumia akili liliwashinda miaka mingi jirani zetu.
Bongolala, I don't work at World Bank neither do I know anyone who works there. World Bank produced this data for public consumption. If it pains you so much, waandikie barua uwaambie kwamba taarifa yao siyo sahihi. Hii kelele unapiga hapa will not change anything about WB mentioning Tanzania in that report of shame!
 
So you want me to believe your words, reasoning and thinking ukiwa hapo Tandale nisiamini data ya experts from World Bank?

Why do you hate data that paints your country negatively while agree with those that paint your country positively even if these data come from the same source? Is this what blind patriotism has done to your brains?
We mgonjwa wa akili, that article is from Global Finance magazine and that's the latest. Your source didn't mention Tanzania as the poorest country in the region, ni akili zako za teargases ndo zimetafsiri hivyo. Global Finance magazine is not my words
 
Bongolala, I don't work at World Bank neither do I know anyone who works there. World Bank produced this data for public consumption. If it pains you so much, waandikie barua uwaambie kwamba taarifa yao siyo sahihi. Hii kelele unapiga hapa will not change anything about WB mentioning Tanzania in that report of shame! S

Bongolala, I don't work at World Bank neither do I know anyone who works there. World Bank produced this data for public consumption. If it pains you so much, waandikie barua uwaambie kwamba taarifa yao siyo sahihi. Hii kelele unapiga hapa will not change anything about WB mentioning Tanzania in that report of shame!
Can you screenshot the part where WB mentioned Tanzania as the poorest country in the region??? Unless otherwise you must be having some serious mental health issues
 
Kaka Tatizo Capital. Pesa ni nyingi mno zinahitajika. Yaani ujenge, reli, ununue vichwa vya treni, babehewa, Ujenge storages, Ujenge bandari kavu. Kaka hii inahitaji billions of $.
Reli sio kwamba inajengwa na trc, kwa sasa tunaweza tumia behewa na vichwa 17 tulivyo nanvyo ili kuweza timiza malengo labda tunahitaji vichwa kwa ajili ya mgr tu kwa pesa tunazopata kwenye usafirishaji wa abiria tu ilifaa tutenge hata asilimia 49 kwa ajili ya maendeleo ambayo ni pamoja na ujenzi ya hayo magodown
 
We mgonjwa wa akili, that article is from Global Finance magazine and that's the latest. Your source didn't mention Tanzania as the poorest country in the region, ni akili zako za teargases ndo zimetafsiri hivyo. Global Finance magazine is not my words
Bongolala, this is one of the sources I shared here. This is World Bank X account.

View: https://x.com/WorldBank/status/1317435268614492160?t=SXKmxHAjqFIfgFSDLvq6Rw&s=19

The other source I shared here is this one

Zote ni World Bank

Hiyo Global Finance umetoa wapi wewe? Mnapenda ubishi za kijinga sana mkishabanwa kwenye hoja
 
Can you screenshot the part where WB mentioned Tanzania as the poorest country in the region??? Unless otherwise you must be having some serious mental health issues
Don't you know how to read?
Screenshot_20250712-175809.jpg
 
Reli sio kwamba inajengwa na trc, kwa sasa tunaweza tumia behewa na vichwa 17 tulivyo nanvyo ili kuweza timiza malengo labda tunahitaji vichwa kwa ajili ya mgr tu kwa pesa tunazopata kwenye usafirishaji wa abiria tu ilifaa tutenge hata asilimia 49 kwa ajili ya maendeleo ambayo ni pamoja na ujenzi ya hayo magodown
Duh!! Pesa ya Abiria itumike kutengeneza SGR!!? Kaka haupo serious. Tawi la kutoka Tabora kwenda Katavi mpaka Bandarini linahitaji pesa nyingi. SGR kwa sasa hata robo ya network yote bado.

Waache wataalam wafanye kazi zao
 
DRC is one of the members of the East African Community
EAC is a political pact, ndio maana DRC wenyewe walijoin just the other day. The truth is, DRC is in central Africa geographically, not East Africa. Umesikia mnyamwezi?

Even Tanzania is a member of SADC while in real sense it's not located in southern Africa
 
Duh!! Pesa ya Abiria itumike kutengeneza SGR!!? Kaka haupo serious. Tawi la kutoka Tabora kwenda Katavi mpaka Bandarini linahitaji pesa nyingi. SGR kwa sasa hata robo ya network yote bado.

Waache wataalam wafanye kazi zao
Hujaelewa pesa ya sgr haitumiki kujenga sgr bali ni pesa inayotoka serikali kuu, nachozungumzia Ile pesa ya abiria ijenge magodownna miundombinu mingine ambayo sio ya hela nyingi
 
Operation cost za TRC zitatoka wapi? Huo utakuwa mwanzo wa kuiua TRC. TRC tangu ianze kubeba abiria imekusanya TSH not more than 40b. Sasa unataka utoe kiasi gani hapo ili ujenge hayo magodown?
 
Back
Top Bottom