concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Trc ni mradi wao wanazubaaje, hiyo ni moja ya vyanzo vya mapato kwa magodownTPA wanatakiwa kuanza ujenzi wa bandari kavu na Godowns hapo Ihumwa haraka sana.
Trc ni mradi wao wanazubaaje, hiyo ni moja ya vyanzo vya mapato kwa magodownTPA wanatakiwa kuanza ujenzi wa bandari kavu na Godowns hapo Ihumwa haraka sana.
TRC wamesharuhusu Private Sectors, Just book apoitment ili ufanye uwekezaji kaka.Yap hata hiyo imejaa vizuri pili badala ya kuhangaika iishie Dodoma , wachukue mizigo ya mpaka mwanza na kigoma. Sgr inakuwa inaishia Dom then mizigo inakuwa inahamishiwa kwenye mgr hapa tutaupiga bao , ebu trc watatutafute tuwape ma idea hii reli inatakiwa ituweke busy kuanzia wa malori mpaka madalali , tukiisimamia vizur wa malori watapata kazi na sgr itafanya kazi kwa ufasaha
Mimi sina hela🤣🤣🤣🤣, halafu sidhani hiyo ya private sector kama ni njema kwetu ,uwekezaji mzuri ilikuwa trc wauze hisa ila watu waweke mitaji yao hapo . Tukiruhusu private ,mtu atatoka ulaya na pesa zake then faida baadae inaenda ulaya wakati ingekuwa ni hisa faida nyingi ingebaki hapaTRC wamesharuhusu Private Sectors, Just book apoitment ili ufanye uwekezaji kaka.
Joining the league of middle income countries has nothing to with poverty rates in a country. Middle income deals with the gross national income of a country per capita.Do you even know Tanzania joined the middle income countries in 2020?? Do you know it was almost 60 years old by then?? Au unajitoa akili tukuunge group ya milembe hospital
Only in my imagination?What you write is only in your imagination. It has no truth. You really wish it were so, but unfortunately it is not so. Pole Kunywa maji mengi kabisa utulize moyo wako.
Ndio maana niwaambianga Kila siku hapa kwamba mpo desperate.View attachment 3403263
We maku acha ufala,onyesha hayo maeneo sio unajiongelesha kama choko
Kaka dunia sasa hivi ni open. Mnyororo wa Reli ni mkubwa sana.Sasa hivi wachina watajenga Meli nne ziwa tanganyika kila moja ina uwezo wa kubeba tani 60,000 kwa mweziMimi sina hela🤣🤣🤣🤣, halafu sidhani hiyo ya private sector kama ni njema kwetu ,uwekezaji mazuri ilikuwa trc wauze hisa ila watu waweke mitaji yao hapo . Tukiruhusu private ,mtu atatoka ulaya na pesa zake then faida baadae inaenda ulaya wakati ingekuwa ni hisa faida nyingi ingebaki hapa
Tanzania inaenda kwa utaratibu mdogo wangu. From the 1950s to the 2000s, Tanzania was involved in the African liberation war. Ukombozi total wa Angola ulikuwa 4 April 2002. Ni kama miaka 15 tu Tanzania imeacha kuzisaidia nchi za kiafrika.Only in my imagination?
Is Tanzania not 60 years old?
Kaka sipingi private sector ila trc Inaweza kufanya yote hayo mpaka mkabaki kushangaaa issue ni kuwa watoke kwenye comfort zone tu.Kaka dunia sasa hivi ni open. Mnyororo wa Reli ni mkubwa sana.Sasa hivi wachina watajenga Meli nne ziwa tanganyika kila moja ina uwezo wa kubeba tani 60,000 kwa mwezi
Private Sctor wanakuwa na sehemu yao. Serikali pekee haitaweza kubeba mizigo yote kutoka DRC. Hata upande wa Storage Private Sctors wanaruhusiwa kujenga. DP World wapo na mpango wa kujenga hizo Storages. Huko Kurasini wanajenga Storage ya Perishable goods. Maua, Nyama, Parachichi nk.
Tupo kwenye positive moves.
Kaka Tatizo Capital. Pesa ni nyingi mno zinahitajika. Yaani ujenge, reli, ununue vichwa vya treni, babehewa, Ujenge storages, Ujenge bandari kavu. Kaka hii inahitaji billions of $.Kaka sipingi private sector ila trc Inaweza kufanya yote hayo mpaka mkabaki kushangaaa issue ni kuwa watoke kwenye comfort zone tu.
Kwanza hiyo Dharavi yenyewe ni nzr kuliko slums nyingi in Kenya, kibera ndiyo the biggest slum in the world as we speak.Ndio maana niwaambianga Kila siku hapa kwamba mpo desperate.
Hii rudisha India kijana wa Tandale
View attachment 3403273
Joining the league of middle income countries has nothing to with poverty rates in a country. Middle income deals with the gross national income of a country per capita.
A country's poverty rates or index, on the other hand, is the percentage of a population who have incomes falling below that specific country's poverty line.
Don't confuse poverty index and MIC.
Hivi hawa wenye vibanda wakienda ushago huwa wanasema wamejenga Nairobi 😁View attachment 3403263
We maku acha ufala,onyesha hayo maeneo sio unajiongelesha kama choko
Hapa uliongea nini?Things that happen in Tanzania are not done by Tanzanians. Nyinyi kazi yenu ni uchawi, omba omba na kuvuta bangi.
![]()
African countries show mixed progress towards poverty reduction and half of them have an extreme poverty rate above 35%
Extreme poverty will become a predominantly Sub-Saharan African phenomenon in the coming decade and the continent will be home to the lion’s share of the global poor by 2030. The recently published Poverty and Shared Prosperity report 2020 shows...blogs.worldbank.org
View attachment 3403183
View: https://x.com/WorldBank/status/1317435268614492160?t=Et3gkwOjOjcN8rWLmH_tJw&s=19
Bla bla bla blah....Tanzania inaenda kwa utaratibu mdogo wangu. From the 1950s to the 2000s, Tanzania was involved in the African liberation war. Ukombozi total wa Angola ulikuwa 4 April 2002. Ni kama miaka 15 tu Tanzania imeacha kuzisaidia nchi za kiafrika.
Sasa hivi tupo kwenye Phase II Economic liberation, wakenya hamtajua chochote, maana nyie ni vipofu.
Sawa watchman. I hope that will make you sleep soundly tonightKwanza hiyo Dharavi yenyewe ni nzr kuliko slums nyingi in Kenya, kibera ndiyo the biggest slum in the world as we speak.
Hebu tueleze maana mwezi huu wote unaongelea Umaskini. Tuambie umaskini upi upo Tanzania? KwikwikwikwikwikwiBla bla bla blah....
Eti ukombozi! Ukombozi kitu gani wakati hata nyinyi wenyewe mlishindwa kujikomboa kutokana na umasikini!