Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ethiopia uchumi wake upo bias sana kulingana na maeneo,pia vitu vingi alivyowekeza sio productive kiasi hicho.
Najua hilo.

Ethiopia wana matatizo ya vita na Ukame.

Ila wako vizuri kwenye maeneo waliyochagua.

  • Ethiopian Airlines (100% ya serikali)
  • Addis Ababa Development corridor (Addis abab inang'aa na wameweka taa za Chandelier na barabara ziko vizuri)
  • GERD (Bwawa kubwa la umeme wa zaidi ya 6000MW, mara 3 la bwawa la Mwalimu Nyerere)
  • Coffee export business
  • SGR mpaka Djibouti.
  • Dire Dawa-Dewele expressway, ingawa hii ni barabara ya kulipia.
 
Ni sahihi kaka ila ukitizama hayo maeneo hayachagizi social development na economic development effectively labda sana sana bwawa la umeme.
Hizo pesa wangetakiwa wawekeze kwenye irrigation farming wapunguze kwanza balaa njaa.
Pia wawekeze kwenye elimu,afya na miundombinu.
Kuna mikoa Ethiopia haina lami hata kipande.
Na vita zao ni vita za kikabila sanasana ila unakuta maeneo mengine yako poa kabisa.
Nahisi Kuna namna ya upangaji wao wa mipango hauendi sawa.
 
Wakikuyu Ruto anasema mwache kumdharau kwa sababu yeye ni mkalenjin.²
Teargass

1000063616.jpg
 
Ukitaka kuona flyover,interchanges lazima uende Dar es salaam...that's enough to tell you venye hio nchi iko
Tanzania ni nchi inayojenga miundombinu kiuhitaji.
Haijengi tu miundombinu kisifa.
Hata hii Dar-es-salaam imejengwa flyover baada ya kuonekana zinahitajika kujengwa.
Mikoa iliyobaki kuna barabara nzuri,pana na bora,hivyo huko hakuna msongamano wa magari hakuhitajiki flyover.
Unadhani sisi kama nyie mwajijengea tu?
 
sio kweli kuna sometimes tunabugi sana yani tunachelewa kufanya maendeleo kusubiri maji yatufike shingoni mfano dar es salaam flyover zilichelewa sana tena sana, maji yameshafika shingoni ndio tumekumbuka flyover, tizama barabara zinazojengwa BRT mfano mjini kutoka kamata kwenda airport tunarudia makosa yale yale yakujenga 4 lanes kwa ajili private cars tunaacha nafas kubwa wakat ilitakiwa tujenge hata 6lanes minimum kwa barabara kama hio lakini after 1 yrs tutabomoa tutajenga tena likewise jangwani bridge tunakumbuka shuka kumeshakucha
 
Back
Top Bottom