Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,932
- 34,916
Ukiona Addis wala hata huwezi kuhoji mikopo.Wamechukua loans sawa na Ethiopia, imagine Ethiopia ni communist nation ni serikali imejenga almost developments zote adis na Kunyaland ni private sector owns almost everything in naislum lakini utashangaa pesa zote serikali yao imekopa imezipeleka wapi wakati naislum na adis ni kifo na usingizi.
SGR, GERD, Beatiful Addis Ababa, Expressway.
Njoo Kenya sasa.
Deni Mlima, maendeleo Kibaba.