Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
Hivi mnatuambiaga Kenyatta National Hospital ina vitanda vingapi vile?Nimekuletea picha za Kasarani area ukiwa na lights all around lakini umekwama ni hii angle kujipa matumaini. Nimekuambia tulete satellite images za usiku kati ya Dar na Nairobi tujue ni wapi Kuna giza hutaki. Continue consoling yourself watchman