Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Tanzania ni nchi inayojenga miundombinu kiuhitaji.Ukitaka kuona flyover,interchanges lazima uende Dar es salaam...that's enough to tell you venye hio nchi iko
sio kweli kuna sometimes tunabugi sana yani tunachelewa kufanya maendeleo kusubiri maji yatufike shingoni mfano dar es salaam flyover zilichelewa sana tena sana, maji yameshafika shingoni ndio tumekumbuka flyover, tizama barabara zinazojengwa BRT mfano mjini kutoka kamata kwenda airport tunarudia makosa yale yale yakujenga 4 lanes kwa ajili private cars tunaacha nafas kubwa wakat ilitakiwa tujenge hata 6lanes minimum kwa barabara kama hio lakini after 1 yrs tutabomoa tutajenga tena likewise jangwani bridge tunakumbuka shuka kumeshakuchaTanzania ni nchi inayojenga miundombinu kiuhitaji.
Haijengi tu miundombinu kisifa.
Hata hii Dar-es-salaam imejengwa flyover baada ya kuonekana zinahitajika kujengwa.
Mikoa iliyobaki kuna barabara nzuri,pana na bora,hivyo huko hakuna msongamano wa magari hakuhitajiki flyover.
Unadhani sisi kama nyie mwajijengea tu?
Arusha. Third largest after DarHaha nje ya Dar Kuna cities like Mombasa kisumu or Nakuru kweli???
Even ruiru-thika stretch???
Dar yenyewe ni takataka tu ndugu ya Ibadan or Enugu
IMF inasema uchumi wao umekuwa kwa $29b within a year from 2024 to 2025.Kunyaland imechukua mikopo mikubwa saivi wana zaidi ya 90 billion dollars debt lakini hakuna lolote walilofanya zaidi ya thika highway sababu expressway ni PPP na Talanta na bado uchumi upo mortuary
Kwa hiyo flyover na interchanges ndo general developments kwako?!Ukitaka kuona flyover,interchanges lazima uende Dar es salaam...that's enough to tell you venye hio nchi iko
kubali mko nyuma kimaendeleo sijui mbona tunapingana 😁 😁 😁Kwa hiyo flyover na interchanges ndo general developments kwako?!
Mkuu Tz haijengi kwa maonyesho wala sifa. Bali zinajengwa kwa uhitaji.
Last month hapa watu wa Eldoret, fifth largest city in kenya waliwekewa traffic lights for the first time and they were trained mpaka ikawa news. Tanzania hadi vijijini huko sehemu kama Babati, katoro nk Kuna traffic lights na ni vitu vya kawaida.
Na sisi tuseme Kenya is not developed because Miji yao Mingi haina traffic lights?
Hata kama tunachelewa ila tunajenga kulingana na uhitaji.sio kweli kuna sometimes tunabugi sana yani tunachelewa kufanya maendeleo kusubiri maji yatufike shingoni mfano dar es salaam flyover zilichelewa sana tena sana, maji yameshafika shingoni ndio tumekumbuka flyover, tizama barabara zinazojengwa BRT mfano mjini kutoka kamata kwenda airport tunarudia makosa yale yale yakujenga 4 lanes kwa ajili private cars tunaacha nafas kubwa wakat ilitakiwa tujenge hata 6lanes minimum kwa barabara kama hio lakini after 1 yrs tutabomoa tutajenga tena likewise jangwani bridge tunakumbuka shuka kumeshakucha
Morogoro inahitaji haswa pale Msamvu!Hata kama tunachelewa ila tunajenga kulingana na uhitaji.
Sasa kaka mfano Morogoro ukajenge flyover ya nini?