Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata hii ni RUAI pia tena ni April 2025 😂😂
Screenshot_2025-07-09-14-22-29-222_com.google.android.googlequicksearchbox.png
 
Alafu Tandale, Buguruni, Vingunguti, Mabibo, Mazense na maeneo mengine kama hayo wanaishi akina nani?
Hiyo ni sehemu ya Chang'ombe, Chang'ombe kubwa nikuoneshe upande wake mwingine!??
Tandale,Manzese wanakaa changanyikeni watu wa hali ya chini na ya kati hata ya juu pia,Yani makazi yamechanganyika.
 
You can’t defend the indefensible. Hata wenzako wametulia na mambo ya Venus star. They know the truth. Ni wewe tu unapayuka tu. Kununua kiatu mpya si jambo la ajabu 😄😄
Babu jinga sijanunua hata kiatu kipya,yule chokoraa wako tu nataka nimmbeto na tamaa zake,halafu vp kuhusu vintage space,nasikia next time itakua arusha,babu jinga uje basi na over size zako 😂
markup_39781 (1).png
markup_41354.jpg
 
MRADI WA TZS. 1.2 Trilioni WA UJENZI WA MUHIMBILI MPYA

DKT. KIMAMBO AKUTANA NA EXIM BANK KOREA KUJADILI MRADI WA UJENZI WA MUHIMBILI MPYA

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Delilah Kimambo leo amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi wa Bank ya Exim Korea, kuhusu mradi wa ujenzi wa Muhimbili Mpya, ambapo beki hiyo iliwakilishwa na Bw. KimKyeon, -Gu pamoja na Hamza Ramadhan. Mradi huo utagharimu kiasi cha TZS. 1.2 Trilioni.


View: https://www.instagram.com/p/DL5EGEst3FC/?igsh=MXduNTlvcGs1dHJoYQ==
 
Kenya wamewekeza 96% Nairobi, lakini Nairobi bado ya ovyooo.

Yaani sijui pesa wanapeleka wapi?
Wamechukua loans sawa na Ethiopia, imagine Ethiopia ni communist nation ni serikali imejenga almost developments zote adis na Kunyaland ni private sector owns almost everything in naislum lakini utashangaa pesa zote serikali yao imekopa imezipeleka wapi wakati naislum na adis ni kifo na usingizi.
 
Back
Top Bottom