ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,346
- 88,415
Katika sector ambayo inahitaji watu serious ni Ujenzi.sio kweli kuna sometimes tunabugi sana yani tunachelewa kufanya maendeleo kusubiri maji yatufike shingoni mfano dar es salaam flyover zilichelewa sana tena sana, maji yameshafika shingoni ndio tumekumbuka flyover, tizama barabara zinazojengwa BRT mfano mjini kutoka kamata kwenda airport tunarudia makosa yale yale yakujenga 4 lanes kwa ajili private cars tunaacha nafas kubwa wakat ilitakiwa tujenge hata 6lanes minimum kwa barabara kama hio lakini after 1 yrs tutabomoa tutajenga tena likewise jangwani bridge tunakumbuka shuka kumeshakucha
Embu wekeni hapa military buses zenu tucheke kidogo
![]()
POLITICAL FORUM TZ | Facebook
www.facebook.com
Ni Mzungu ndio anakuanga is ha vibanda vya ndege hapo. Nyinyi hamna akili hata ya kutengeneza toy ya baiskeli.Tunatengeneza ndege je nyie mnatengeneza ndege ipi?
mwnation.com
View: https://vm.tiktok.com/ZNd5yamou/ hao jamaa ni washamba,angalia comment zao hapo wanacheka hizo military buses za TZ,kwao hata askari wakienda kwenye sherehe wanatumia armored 😃,kunyan wapo nyuma sana,hapo jwtz walikua wanatoka chamazi complex kwenye CDF cup dogo katoa salute za kutosha
What do you understand by the word "Made in Tanzania " labda tuanzie hapo kupima afya yako ya akili kwanza😁Ni Mzungu ndio anakuanga is ha vibanda vya ndege hapo. Nyinyi hamna akili hata ya kutengeneza toy ya baiskeli.
Tanzanian ama Mwarabu? Mtanzania Hana pesa ya kuwekeza mahali yoyote. The only people Tanzania has are the drug dealers and omba omba.New Tanzanian investment in Malawi hatuna kelele mingi kama wale wanaowekeza peanuts na kipiga kelele kama zote
![]()
Bakhresa commissions K175 billion plant - Nation Online
In an economy where industry is scaling down due to a harsh operating environment, Bakhresa Malawi Limited has invested $100 million (about K175.1 billion) in a cooking oil refinery in Blantyre, creating 500 direct jobs. President Lazarus Chakwera yesterday presided over the commissioning of the...mwnation.com
Tulikuwa tunaongelea uwezo wa mtanzania kutengeneza gari. Ama umebadilisha goal post tena.What do you understand by the word "Made in Tanzania " labda tuanzie hapo kupima afya yako ya akili kwanza😁
Leo nataka nikuoneshe jinsi nchi yenu ipo nyuma kwenye maendeleo ya Technology.Tulikuwa tunaongelea uwezo wa mtanzania kutengeneza gari. Ama umebadilisha goal post tena.
| Kigezo | GePG (Tanzania) | eCitizen + M‑PESA (Kenya) |
|---|---|---|
| Muundo wa Mfumo | Mfumo wa kitaifa wa kati (centralized gateway) – GePG ni lazima kwa malipo yote ya serikali. | Mfumo wa huduma mseto – eCitizen ni jukwaa la huduma nyingi, si lazima kwa kila idara. |
| Uwazi wa Mapato | Mapato yote huingia moja kwa moja kwenye akaunti ya serikali BOT – hakuna pesa kupotea kirahisi. | Malipo huenda kupitia M-PESA au benki, kisha kwa idara husika – uwezekano wa ucheleweshaji wa kurekodi mapato. |
Nikajua utani! 😂😂😂Leo nataka nikuoneshe jinsi nchi yenu ipo nyuma kwenye maendeleo ya Technology.
Tanzania tupo na GePG (Government Electronic Payment Gateway)
Nyie nchi yenu ni Zero. Mnatumia MPESA kukusanya mapato yenu. Pesa zinaingia SafariCom then Serikali inaenda kuomba pesa kutoka SafariCom ili izihamishe kwenda Central Bank. 🤣 🤣 🤣 🤣 Hapa lazima wizi wa pesa utendeke
Safaricom ime monopolize transactions zote nchini Kenya. Nchi haina uhuru hiyo. Wakikuyu wanafaidi.Nikajua utani! 😂😂😂
View attachment 3400066
Wakati Tanzania ukiwa na control number unaweza kulipia kutoka bank yoyote au mtandao wowote. 😂😂😂Safaricom ime monopolize transactions zote nchini Kenya. Nchi haina uhuru hiyo. Wakikuyu wanafaidi.
Halafu wanakuja hapa ati Safaricom ni biggest company na data zao za online.Leo nataka nikuoneshe jinsi nchi yenu ipo nyuma kwenye maendeleo ya Technology.
Tanzania tupo na GePG (Government Electronic Payment Gateway)
Nyie nchi yenu ni Zero. Mnatumia MPESA kukusanya mapato yenu. Pesa zinaingia SafariCom then Serikali inaenda kuomba pesa kutoka SafariCom ili izihamishe kwenda Central Bank. 🤣 🤣 🤣 🤣 Hapa lazima wizi wa pesa utendeke
Kigezo GePG (Tanzania) eCitizen + M‑PESA (Kenya) Muundo wa Mfumo Mfumo wa kitaifa wa kati (centralized gateway) – GePG ni lazima kwa malipo yote ya serikali. Mfumo wa huduma mseto – eCitizen ni jukwaa la huduma nyingi, si lazima kwa kila idara. Uwazi wa Mapato Mapato yote huingia moja kwa moja kwenye akaunti ya serikali BOT – hakuna pesa kupotea kirahisi. Malipo huenda kupitia M-PESA au benki, kisha kwa idara husika – uwezekano wa ucheleweshaji wa kurekodi mapato.
Kenya ni changamoto sana.Nikajua utani! 😂😂😂
View attachment 3400066