Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yet nchi yao Iko kwa mifumo za districts na mayor's bado!!! 😂
Kenya ya zama za kale iiiiiii
Structure yenu inatajirisha Wanasiasa tu, haina mantiki yoyote.

Sasa County assembly ina tofautingani na Council, chini ya Mayor?

Counties zina tofauti gani na Districts na Regions??
 
Kama imeweza kubeba 700 tonnes haijaingia bandarin na ni mzigo wa mtu mmoja itakuwaje ikiingia Port?

Ila kabla hatujafika huko tuanzie hapa kwenye passengers , yaan weekend kama hii pamoja na kuwa summertides festival Mombasa mmeshindwa kujaza treni hata mojaView attachment 3394774View attachment 3394775

Hata matajiri Wana njaa tupu yaan siti 10 tu ndo wameweza kununua🤣🤣🤣
View attachment 3394781

Versus tanzania
Tena hii ni kesho maana Leo hakuna hata nafasi ya kupita , imagine hizo ni safari nne kwa siku nyinyi tatu zinawatoa jashoView attachment 3394777
Our Passenger SGR does 2.5M passengers yearly, yours did 1.4M between June last year to June this year.
 
Our Passenger SGR does 2M passengers yearly, yours did 1.4M between June last year to June this year.
PAX trains started hae carried over 2 mln passengers!

Screenshot 2025-07-05 121235.png



View: https://x.com/ccttfaorg/status/1938933137259606343
 
What about revenue?
Plus cargo?
Air traffic the same route?
Number of personal cars too?
Ndio ujue nani mbabe!
Ata mubebe 1m passengers kila siku still hakuna faida hapo

That's why Kenya waliongeza Bei kupunguza watu but revenue ikaongezeka by 37% though still not enough.
Hatuwez kupiga revenue ya cargo sababu kwanza jua bado sgr na kipande Cha mgr sasa hivi havinakamilikabkuingia bandarin.
Siku mizigo ikianza Toka bandarini ndo tutarudi hapa tufanye comparison.

Tukisema tuje kwa passenger revenue tu hata kabla hatujakamlisha ripoti ya mwaka tukianza kwa kuangalia nauli tu, nauli zote za Tanzania kwa economy tz ni expensive kuliko Kenya i.e economy Kenya 1500ksh,
Tz 31,000=1550
Kenyan first class= 4500 = 90,000tsh
Tanzania tuna royal class
Premium= 150,000= 75000 huwa seat 35
Business class royal= 5000 ksh seat 535
Kuna locomotive royal na business 90,000 kwa 70000
Kwa hiyo tukija kwenye issue ya pricing bado revenue ya Tanzania itakuwa juu sababu ukitoa premium class ya Kenya ambayo huwa Ina mabehewa mawili hakuna sehemu bei mmetuzid hence revenue automatically lazima iwe juu.
Personal driving , bado Kuna majority wanatembeza magari yao kwa wingi zaid ya unavyofikiria , hayo utayaona kama ukiamua kutembea kwa barabara.
Kuhusu air transport Mombasa Inaweza frequency nyingi lakini haziwez fikia hata kucover hata treni moja ya emu na hapa hatuzingumzii air frequency bali sgr
 
Structure yenu inatajirisha Wanasiasa tu, haina mantiki yoyote
Kama inatajirika wanasiasa pekee then how come Kenya has more dollar millionaires mara nne ya Tanzania yet population ya Tanzania is almost 2 twice ya Kenya?
 
What about revenue?
Plus cargo?
Air traffic the same route?
Number of personal cars too?
Ndio ujue nani mbabe!
Ata mubebe 1m passengers kila siku still hakuna faida hapo

That's why Kenya waliongeza Bei kupunguza watu but revenue ikaongezeka by 37% though still not enough.
Hata baada ya kuongeza fair bado haijazidi fair ya sgr Tanzania.
Labda premium coach zenu tu ambazo per trip huwa ziko mbili na mara chache hujaaa.
Premium kwa wiki Inaweza jaza maybe mara moja au twice lakini siku zote huwa Iko empty
 
Hata baada ya kuongeza fair bado haijazidi fair ya sgr Tanzania.
Labda premium coach zenu tu ambazo per trip huwa ziko mbili na mara chache hujaaa.
Premium kwa wiki Inaweza jaza maybe mara moja au twice lakini siku zote huwa Iko empty
According to who? Ama according to wewe beggar?
 
According to your government statistics your SGR carried only 1.4M passengers in one year from June 2024 to June 2025. Hizi tweets za kutafuta engagements usiniletee hapa.

  • Rail
  • 08/05/2025 21:14

Tanzania SGR: Transforming East African Rail Travel


Tanzania SGR: Transforming East African Rail Travel

Tanzania is making significant strides in revolutionizing East African rail travel with its Standard Gauge Railway (SGR). Since its launch in June 2024, the SGR has become a cornerstone of the country's transport infrastructure, carrying over 2.3 million passengers and generating TZS 66.8 billion in revenue by April 2025. This remarkable achievement underscores the SGR's growing importance in facilitating both domestic and regional tourism.

The Tanzania Railways Corporation (TRC) has strategically adjusted its daily train schedules to accommodate the surge in passenger demand. The Dar es Salaam-Morogoro line now boasts a dedicated train service, operating four trips daily. Similarly, the Dar es Salaam-Dodoma route has expanded to eight daily trips, ensuring efficient and convenient travel between these key cities. This enhanced connectivity is a boon for travel agents, offering clients seamless and reliable rail options for exploring Tanzania.

A key differentiator of Tanzania's SGR is its status as the first independently operated high-speed electric railway in East and Central Africa. This pioneering achievement, managed entirely by Tanzanian professionals, showcases the country's commitment to technological advancement and sustainable transport solutions. Director General of TRC, Masanja Kungu Kadogosa, commended the engineering teams for their expertise in overcoming technical challenges and maintaining smooth operations. This operational excellence sets a new standard for rail travel in the region, offering travel agents a reliable and modern transport option for their clients.

The SGR's impact extends beyond mere passenger numbers. It has significantly reshaped travel patterns within Tanzania, offering a faster, more comfortable, and cost-effective alternative to road travel. This shift opens up exciting opportunities for regional tourism, making previously remote destinations more accessible and appealing to both domestic and international travelers. Travel agents can leverage this improved connectivity to curate diverse itineraries, showcasing Tanzania's rich cultural heritage and natural wonders.

Looking ahead, the TRC's ongoing expansion plans promise even greater connectivity. Phase 1 of the SGR project, encompassing the route from Dar es Salaam to Mwanza, is progressing steadily, with the Isaka-Mwanza segment already 63% complete. Phase 2, which will extend the network to Kigoma and connect with Burundi, further solidifies Tanzania's position as a regional rail hub. These developments are set to transform the landscape of East African travel, creating new avenues for tourism and economic growth.

The projected completion of the Dar es Salaam-Mwanza line in 2027 and the Tabora-Kigoma line in 2028 will further enhance travel options within Tanzania and beyond. This expansion will not only benefit tourists but also facilitate trade and commerce, contributing to the overall development of the region. Travel agents can anticipate increased demand for rail travel as these new routes become operational, offering clients even more choices for exploring the diverse landscapes and cultural experiences of East Africa.

Tanzania's SGR is more than just a railway; it's a symbol of progress and a catalyst for sustainable tourism development. By embracing this modern and efficient mode of transport, travel agents can unlock new possibilities for their clients, offering seamless journeys and unforgettable experiences across Tanzania and beyond. The SGR's continued expansion promises a bright future for East African rail travel, positioning Tanzania as a leader in the region's transport and tourism sectors.

 
Our Passenger SGR does 2.5M passengers yearly, yours did 1.4M between June last year to June this year.
Hii ilikuwa may 6 yaan kwa mwaka mzima Toka mwaka jana may mlisafirisha 2.44mil passenger for twelve months


chrome_screenshot_Jul 5, 2025 1_20_29 PM GMT+03_00.png


Halafu Tanzania safari kwenda Dom zikaanza July 25 ila mpaka
March 22. Ilikuwa na passengers 2.1mil
Kwa miezi 8 kwa Kila mwezi approximately 262,000
Versus Kenya per month 203,000 passenger🤣🤣🤣🤣
chrome_screenshot_Jul 5, 2025 1_18_52 PM GMT+03_00.png
 
Back
Top Bottom