View: https://www.facebook.com/patrick.mapulanga.7/videos/1958665941559186/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
MY TAKE
Kenya Airways majivuno ya Africa? Sounds arrogance! It supposed to be “fahari ya Africa!” as a right translation.
At least si primary school dropout kama viongozi wenuNdio maana Genz wanaandamana kutoa hii ng'ombe,haina akili kabisa
View attachment 3393604
Utajulia wapi wakati unajua kutafuta hela ya githeri tuWewe ni fala Sana. Obviously you don't know what you are talking about.
Pole sana,huyo wenu hana akiliAt least si primary school dropout kama viongozi wenu
View: https://www.facebook.com/patrick.mapulanga.7/videos/1958665941559186/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
MY TAKE
Kenya Airways majivuno ya Africa? Sounds arrogance! It supposed to be “fahari ya Africa!” as a right translation.
Fedha zinazoenda kwenye counties zinafall under national government recurrent expenditure ambapo zaidi ya kitu 40% ya fedha hizo zinaenda kwenye development ndani ya countiesHiyo hela ya county si inakuwa imeshapangiwa bajeti ambayo imejumlishwa kwenye master budget.? Au wewe unajua bajeti iliyosomwa tarehe 12 /6 haikuwa na bajeti ndogo za counties? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
We ni fala county governments zinapata a certain percentage ya national revenues nazo zinajipangia matumiziHaha kweli inaonekana shule kwenu ni nadra.
National budget inainclude departmental,ministerial, and every source of expenditure and income .
Unapoaandaa county bajeti lazima itabeba Kila kitu kinachohusiana na county husika ambayo baadae inapelekwa kuwa integrated kwenye master bajeti ya nchi, counties zote au matumizi na income zote za counties lazima ziwe integrated kwenye bajeti kuu ya serikali ili kupata bajeti husika ya taifa la kundustan .
Nyinyi mnajua kuandamana tu hakuna mnachojua
Hawa jamaa wamekomaa na capert la bandia kuzunguka uwanja halafu picha hakuna.Kwanza sijawahi ona kitu kama hiki popoteView attachment 3393520
Kasarani hao wahuni wanapaka rangi, tu majukwaa na viti.
Pitch ambayo ndio wachezaji wanatumia imetelekezwa.
Huyo anaishi Tandale na anajifanya hapa anajua budget ya Kenya kutuzidi sisi wakenya!We ni fala county governments zinapata a certain percentage ya national revenues nazo zinajipangia matumizi
Yes because your reasoning is below parYou're not worthy of my response. 🚮 🚮 🚮
Hapa tunashindana kwa hoja na data sio matusi na bullying kijana