REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,600
- 11,518
Tell us more about your new shoes…🤣🤣🤣🤣……Ati Mzee Mzima anatangaza kwa mtandao amenunua kiatu … Poverty is really a bad place to be… anyways, congratulations on ur new buy …🤣🤣🤣
You're not worthy of my response. 🚮 🚮 🚮Jibu hoja kijana acha kujificha kwenye kichaka cha bullying
Now we know why you have an ape’s mentality..😄😄
Kenya ni hovyo mno kwa sasa.Ukiona anatetea hivyo ujue kuna benefits kapata kwenye huo ujenzi!
National budget inatokana na hela zinazokusanywa hasa taxes na income from public entities zinazomilikiwa na gov of Kenya. Sasa unavosema taifa halina hela zake unamaanisha nini.The national budget has no money of its own.
Turkana kukosa economic activity ni upumbafu wa serikali yenu kushindwa kuendeleza au kuvutia watu wakawekeze huko .Pesa inatoka kwa wananchi. You're speaking of the national government as this mythical money printing machine.
Counties give and take.. if you know what I mean.
Same way California subsidizes Mississippi.
Did you know Turkana county is bigger than Rwanda and Burundi combined?
About 1 million people contributing almost nothing to the GDP, mostly grazers spread out everywhere. What do you want to tax them?
Sasa bajeti ya 19 bil kwa eneo lote hilo mbona kidogo sana ndo maana hapaendeleiWith devolution they get an extra 19 billion, just to bring them up to the standards of the rest of the country.
Where do you think that money is coming from? From Kiambu and other rich counties.
Tell us more about your new shoes…🤣🤣🤣🤣……Ati Mzee Mzima anatangaza kwa mtandao amenunua kiatu … Poverty is really a bad place to be… anyways, congratulations on ur new buy …🤣🤣🤣
Na huo ndio ukweli ingawa wengi wao bado wanashupaza shingo😂Kenya ni hovyo mno kwa sasa.
Hili jukwaa limekuwa chungu kwao siku hiziNa huo ndio ukweli ingawa wengi wao bado wanashupaza shingo😂
Nchi imejaa wajinga watupuAisee aibu naona mimi. Asante Mungu kwa kutonichagulia kuzaliwa nchi ya Kenya.
Mlianza kusema hivo 2017, we are now in 2025 and the gap keeps on widen. Do you remember the articles you shared here sometimes back of Uganda ditching Mombasa to Dar? What happened?Ni vizuri umeshare hii data hapa. Sasa ni hivi huo mzigo wa Uganda tunaenda kugawana pasupasu SGR ya umeme itapeleka moto huko soon 😁
Wewe ni fala Sana. Obviously you don't know what you are talking about.Haha kweli inaonekana shule kwenu ni nadra.
National budget inainclude departmental,ministerial, and every source of expenditure and income .
Unapoaandaa county bajeti lazima itabeba Kila kitu kinachohusiana na county husika ambayo baadae inapelekwa kuwa integrated kwenye master bajeti ya nchi, counties zote au matumizi na income zote za counties lazima ziwe integrated kwenye bajeti kuu ya serikali ili kupata bajeti husika ya taifa la kundustan .
Nyinyi mnajua kuandamana tu hakuna mnachojua