kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,264
- 5,413
County budget mpaka inakdilia kuwa ni bil 400 inajumuisha mpaka development expen ambayo inasomwa kwenye bajeti kuu, hizo 400 ni allocation tu za kwenye votes au sub votes
Clearly wewe ni mtaalamu wa katiba ya Kenya, sijui kama ni masomo ya bongoslum ama...
Neither the president nor parliament controls the county budget, not do they proclaim to include it in the national government development budget.
Once the counties get their money, they have their own 'parliaments' (country assembly) to budget for that money.