Huko turkana wangejenga hata viwanda vya nyama kama kuna wafugaji na pia irrigation schemes wange expand huko kukuza uchumi wa kilimoNational budget inatokana na hela zinazokusanywa hasa taxes na income from public entities zinazomilikiwa na gov of Kenya. Sasa unavosema taifa halina hela zake unamaanisha nini.
Turkana kukosa economic activity ni upumbafu wa serikali yenu kushindwa kuendeleza au kuvutia watu wakawekeze huko .
Kuna mto turkwel ungefaaa kwa kilimo na lake turkana inafaa sana hata kama Ina salinity kubwa.
Mmeconcentrate na central Kenya tu
Sasa bajeti ya 19 bil kwa eneo lote hilo mbona kidogo sana ndo maana hapaendelei