kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,197
- 5,261
Tuanzie hapa kiambu total revenue collection kwa mwaka mzima haijawahi zidi 6bil ya osr, kwahiyo inategemea allocation kwa kutoka serikali kuu kwa zaid ya 70% sasa tunapokuambia bajeti ya counties inategemea Iko integrated kwenye bajeti kuu ,ikitokea hakuna allocation kutoka serikali kuu watu wote wa kiambuu hawaendi choo🤣🤣🤣🤣
The county governments are not allowed to collect all taxes.
The national government also collects a lot of taxes from Kiambu. Probably only third after Nairobi and Mombasa.
If Kiambu was it's own country, it would probably be like the economy of Rwanda. Thika Town and Tatu city alone are probably richer than Bujumbura 😂