Afrika tuna shida kubwa ya:Kwanini 84% ya wawekezaji ni ya kipindi chote cha uchimbaji?? Huu uwekezaji unaofanywa kwanini usigharamikiwe na kinachozalishwa kwanza halafu baadaye Serikali ipate hata 80% ya faida?? Hapo ndo wajanja wakaja na akili kwamba always wanapata hasara lakini hawaondoki..
Na kama wanapata faida siye ndo wajinga..
- Teknolojia
- Mitaji mikubwa na
- Masoko.
Hata wakisema watuachie madini yote utashindwa cha kufanya.
Jambo la maingi ni kwenda nao mdogo mdogo, mpaka tuwamudu.
Ukiangalia mikataba aliyowapa Mkapa, kina GGM ni ya ovyo sana, ilikuwa 3%.
Lakini tuanpanda nao kidogo kidogo. Na Magufuli aliwakaba balaa, tukapata,
- Local content (kampuni zinazotoa huduma za kusaodoa migodi ziwe za TZ
- Serikali kiwa na hisa 16% za lazima (ambapo serikali inaweza kuongeza hisa kwa kununua kadri inavyopenda)
- Kodi za kawaida
- Mirabaha Halmashauri
Na sasa hivi serikali imetunga sheria, angalau 20% ya dhahabu isafishwe hapa kuongeza thamani na kuuzwa BoT.
Tukiweza hapo, tunapanda kwenda 50%, ++