Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hili suala linaniumiza moyo sana.. yangekua ni mamlaka yangu ningefutulia mbali vyama vyote vya hovyo kwenye hili taifa.

Sio kisa eti mmepewa fursa ya kugombea nyazma mbali mbali za kiuongozi, eti Ndio muone pia mko huru kufanya ushenzi.. how on earth mtu anaenda kutaka eti taifa likose misaada au wadhamini.? How on earth mtu anaenda eti kuvujisha taarifa za taifa kwa mwekezaji wa kigeni ili kukwamisha marekebisho ya mikataba ya madini.? Ambayo kimsingi marekebisho hayo yanafanywa ili sasa wanachi au nchi inufaike.?

Yule fala Lisu ni wa kuuliwa kwa kunyongwa hadharani. Mtu yeyote anaemsapoti yule ni mpumbavu tu kama wapumbavu wengine. The guy deserves death.
Unaonaje tuanze death kwa mama yako kwanza!
 
Hapo kwenye usaliti sasa,sijawahi kuona upinzani wa nchi yoyote duniani unapambana nchi yao iwekewe vikwazo,yan upinzani tayari hata utengeneze matukio ili tu nchi ionekane ya kidikteta,upinzani ulimfelisha magu kwa % flan aliporeact hata wenzake huko ccm wakawa kama awamuungi mkono,alipofariki wakataka kuwabeba wapinzani if magu akuwa sahihi,kilichowakuta ndio wanajua magu alikua na maono ya mbali
Acha uchawa mkuu upinzani umetengeza matukio gani je unaamini wabunge wote wa ccm 2020 walishinda?
 
Yet you all want to live in SA and no South African wants to live in Bongoslum.
Kuna group kubwa sana la Wasouth Africa limebakia Tanzania mpaka leo. Kuna zaidi ya 7 000 wamebaki Tanzania mpaka leo.

Huyu alifariki 2023 na mwili wake kupelekwa SA na alifia Dar alipokuwa anaishi.

1751363491298.png


Huyu anaitwa Antu Mandoza utampata Instagram kama: missmandoza. Wazazi wake ni SA, kada wa CCM. Ni wengi sana kwa kweli.
1751364474132.png
 
Kuna group kubwa sana la Wasouth Africa limebakia Tanzania mpaka leo. Kuna zaidi ya 7 000 wamebaki Tanzania mpaka leo.

Huyu alifariki 2023 na mwili wake kupelekwa SA na alifia Dar alipokuwa anaishi.

View attachment 3390213

Huyu anaitwa Antu Mandoza utampata Instagram kama: missmandoza. Wazazi wake ni SA, kada wa CCM. Ni wengi sana kwa kweli.
View attachment 3390219
Huwa wanalazimisha sana Tanzania ichukiwe na SA yaani unamkuta anakesha Tiktok na YouTube kutafuta videos za baadhi ya wajinga waliozaliwa 2000s. 😂😂😂
 
Kuishi America kwako ni dream nzuri sio. What a myopic thinking for an African man. I am dissapointed in you as a fellow African.
You disappoint me too with ur gaslighting. I am a proud citizen meaning iI am part of American fabric . Blame my parents. 😁😁..I got family and kids born here and therefore don’t know what else to call my dream .Maybe you can enlighten me ..Don’t hate..😄..But I also contribute in building my motherland through my remittances and projects . You should be proud of me that I haven’t forgotten my roots and contributes in nation building. Life is too short my friend to dwell on geography. Welcome to the 21st century global village.
 
Back
Top Bottom