Mkuu hakuna siku nilokupinga ila leo nakupinga.
Azam amefanya uwekezaji mkubwa kuliko Metl.
Pia uwekezaji wa Azam umeleta direct impact kwa taifa kuliko Metl.
-Mathalan mpira ameufufua Azam kwa kuwekeza bilioni 220 za kitanzania.
-Ngumi ameufufua Azam kwa kuwekeza pia.
-Azam ameleta mageuzi ya media nchini.
Uwekezaji mwingine mkubwa.
-Bagamoyo Sugar ni ya Azam,tafuta kiwanda kikubwa kama cha Bagamoyo sugar anachomiliki Mohammed Dewji kama utapata.
-Marine transport.
Itakuja kuona Azam amegusa Kila pembe ya hii nchi.
Pale bandarini kwenyewe mzigo wa Azam unaoingia ni mkubwa kuliko hata wa Metl.
Metl Wana uwekezaji wa chap kwa haraka wa ujanja ujanja tu.
Usisahau na Hotel Verde Zanzibar.
Usisahau na Fumbwe apartments Zanzibar.
Oyaaa hayo masuala ya revenue huwenda tu jamaa hayafuchui ila Azam ana uwekezaji mkubwa kuliko Metl.
Mwenye macho haambiwi tazama.
Leo hii Azam afirikisike watu watasaga meno kuliko akifirisika Metl.
Metl ni kama Quality groups tu ya Yusuph Manji.