Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jangwani Bridge U/C

IMG_5611.jpeg
IMG_5612.jpeg
 
Mna shida ya Kujiita Wazalendo 😁😁

Vipi na haya yalitakiwa kuanza lini? 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DLUUyPAIHqw/?igsh=c3htNnkyM25vOHJy

ndio ujiulize kwann hua tunachelewa sana kufanya mapunduzi kwenye uchumi, tunasubiri mambo yashatufika shingoni ndio tunaanza kuhangaika kufungua milango, leo tunajenga barabara mbili za magari ya kuelekea airport mpaka gongo la mboto alaf baada ya 2 yrs tunakuja kufumua tena kuongeza other lanes wakat hvi sasa njia ishazidiwa🙌🏻🙌🏻
 
haya walitakiwa wayaruhusu 3 yrs back sio leo yani hua tunafanya mambo kwa kuchelewa sana sijui hua tunashida gan?
Tunajivutavuta sana sijui kwanini na demand ipo ya kumwagaa, pia kwenye usambazaji gesi majumbani bado tunajivuta kwenye sekta ya Ev's bado tunajivuta sijui tatizo liko wapii
 
Tunajivutavuta sana sijui kwanini na demand ipo ya kumwagaa, pia kwenye usambazaji gesi majumbani bado tunajivuta kwenye sekta ya Ev's bado tunajivuta sijui tatizo liko wapii
ndio haya nasema yani hua tunasubiri dakika za mwisho kabisa maji yashatufika shingoni ndio tunahangaika sasa hii kitu hua inanikera sana
 
Si bora angekua kwenye ushindani. 🤣🤣 yeye yupo kweye kupinga kwasababu asingependa kuona reli yetu sasa inabeba mizigo. Anatamani kama angekua na uwezo aje aing’oe.
Si walikuwa wanajiongopea kuwa reli yetu imetengenezwa ya abiria tuu sasa wakiona mzigo wanapaniki maana wanajua mwisho wa mombasa port umefika
 
Back
Top Bottom