Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So, this is the same dumbest shit who said he doesn't know where TZ is on the map.

Then all of sudden he is in Southern part of Tanzania, playing gayish wandering why meat is cooked on gas cylinder instead of electric stoves.

Too many dumb people on the internet.
content creator hao! Hawana cha kufanya na maisha yao
 
USHIRIKIANO WA BURUNDI NA TANZANIA LEO KIWANDA KIKUBWA CHA MBOLEA KIMEZINDULIWA

1751127590052.png

1751127608805.png

1751127633624.png

Kazi kubwa tuliyoifanya kwa miaka minne ya kuboresha sera, sheria na kuvutia uwekezaji nchini imeendelea kuleta matokeo chanya ambapo leo nimeungana na kaka yangu, Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mheshimiwa Évariste Ndayishimiye katika uzinduzi wa kiwanda cha kuzalisha mbolea, ITRACOM Fertilizers Limited, jijini Dodoma.

Kiwanda hiki kikubwa zaidi Afrika Mashariki kinathibitisha nia ya nchi zetu ya kukuza uwekezaji wenye manufaa kwa wote. Aidha, kinaongeza chachu katika mageuzi ya kilimo tunayoendelea nayo, mathalani kuongeza matumizi ya mbolea ili kukuza uzalishaji, kuimarisha usalama wa chakula na mchango wa kilimo kwenye uchumi wetu.

Uwekezaji wa kiwanda hiki utatoa ajira 3,000 za moja kwa moja. Pia, nimeielekeza Wizara ya Kilimo kuimarisha usambazaji wa mbolea hadi vijijini ili wananchi waone tija ya uwekezaji kwenye nchi yao.
 
USHIRIKIANO WA BURUNDI NA TANZANIA LEO KIWANDA KIKUBWA CHA MBOLEA KIMEZINDULIWA

View attachment 3387088

View attachment 3387089

View attachment 3387091

Kazi kubwa tuliyoifanya kwa miaka minne ya kuboresha sera, sheria na kuvutia uwekezaji nchini imeendelea kuleta matokeo chanya ambapo leo nimeungana na kaka yangu, Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mheshimiwa Évariste Ndayishimiye katika uzinduzi wa kiwanda cha kuzalisha mbolea, ITRACOM Fertilizers Limited, jijini Dodoma.

Kiwanda hiki kikubwa zaidi Afrika Mashariki kinathibitisha nia ya nchi zetu ya kukuza uwekezaji wenye manufaa kwa wote. Aidha, kinaongeza chachu katika mageuzi ya kilimo tunayoendelea nayo, mathalani kuongeza matumizi ya mbolea ili kukuza uzalishaji, kuimarisha usalama wa chakula na mchango wa kilimo kwenye uchumi wetu.

Uwekezaji wa kiwanda hiki utatoa ajira 3,000 za moja kwa moja. Pia, nimeielekeza Wizara ya Kilimo kuimarisha usambazaji wa mbolea hadi vijijini ili wananchi waone tija ya uwekezaji kwenye nchi yao.
Aliyesema hakuna mzigo wa sgr Dodoma aje aone, maana huo mzigo wa mbolea lazima uende Kenya kupitia bandari ya dar
 
We naona unachoongea ni ushabiki tu umeambiwa taja hata cost ya kiwanda kimoja Cha Metl iliyozidi usd 100mil bado umeshindwa leta . Tchao
Metl ni mbabaishaji tu hamuwezi bakhressa hata kwa dawa, tuache ushabiki maandazi. Kama bakhressa group of company akiweka wazi turnover yake ndiye tajiri number 1 East and Central Africa.
 
Stop dragging Kenya in your stupid battles. Mumepokea $40 billion na bado nyinyi ni LDC according to IMF.
tunoneshe hapa data tumepokea $40B toka USA! Yaani USA atoke $40B kwa nchi moja tena ya kisoshalist. Wewe mpuuzi unajua hata spares za mitambo kwenye mgodi wa Almasi wa Williamson nchi za west walikataa kutuuzia?
Toka 1960 aid substential aid tulikuwa tunapata toka kwa UK and Canada na 1965 baada ya kuvunja mahusiano yote ya kidiplomasia na UK ni Canada pekee wakabaki. Tumia akili, usiwe mjinga hata wa kufikiri.
 
Huyu babu jinga mwaiofhawaii mzee wa kibera mbona kapotea humu,au ice washamchukua yupo camp kurudishwa ukunyan
View attachment 3387427View attachment 3387428
You really envy me . You still trying to understand how I can be so successful in America while you were omba omba when you lived here…😆😆…Keep trolling searching for answers. I am a proud US citizen and there is nothing you can do about it . God Bless America.🇺🇸 God Bless Kenya 🇰🇪.
IMG_7097.jpeg
 
View attachment 3387526
Screenshot_20250621-090932.png
20250626_101237.jpg
 
Back
Top Bottom