ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
shida yetu sisi sio uwajibikaji alaf low quality itahusika sana acha tu wapewe wageni kwa sasa hzo mega projectsHvi kampuni za kibongo zinashindwa nini kutekeleza miradi ya aina hii,tutajengewa na wachina mpaka lini