Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,701
- 107,146
Bajaj hata wewe ukiwa na uwezo wa kununua unit 1000 kiwandani watakuwekea mpaka nembo yako . Bajaji china ni bei 250 usd mpaka 500 . Kuassemble hata fundi wa kawaida kitaa ana assemble inshort hakuna uwekezaji. Hata ukifuatilia mauzo ya bajaji zake mtaani anazidiwa na watu wenye mitaji midogo inshort Metl biashara ya uwakala huwa anaharibu .mfano tu kashindwa kuziuza kabisa tafe tractors anazidiwa mpaka lovol ya juzi tuYes
MeTL BAJAJ
MeTL Bajaj was established in 2018 as a manufacturer oftwo-wheeler automobiles, popularly known in Tanzaniaas Bodabodas. In May 2021, it introduced three-wheelerautomobiles, commonly referred to as Bajajis.
3.4 billion dollars ni mapato madogo kwako?Eleza kwann mapato madogo?
Haya Mauritius basi haya bidhaa gani ya media yeye ni distributor🤣🤣🤣🤣Kaka hiyo Mauritania ni ya kwako usinilishe maneno ambayo sijayataja. Nimekuambia Mauritius unataka tuweke ushahidi hapa?
Mimi nadhani Iran yuko vizuri kuliko Russia maana amekuwa kwenye vikwazo kwa muda mrefu ila kafanikiwa kuendelea kuliko nchi nyingi sana , Wana mpaka metro walizojenga wao wenyewenyuma ya iran kuna binaadamu mwenye akili sana anaitwa mrusi ndio tishio la dunia nzima hata technology ya china inatoka russia
Kaka unataka tuanze kuaibishana hapa kwenye battle ya Dar vs Nairobi?Haya Mauritius basi haya bidhaa gani ya media yeye ni distributor🤣🤣🤣🤣
Ukilinganisha na Tanzania inayopokea watalii wachache!3.4 billion dollars ni mapato madogo kwako?
Hii ni ili kukwepa kodi!Kaka unataka tuanze kuaibishana hapa kwenye battle ya Dar vs Nairobi?
Sitaki niende details zaidi nakupa tu kidogo
View attachment 3382178
Yes kaka. Maana watu hawataki kutafuta taarifa. Sitaweka tena vitu vingine. Tuendelee na battleHii ni ili kukwepa kodi!
Si wanakuja majuu yao. Nyerere aliwaambia kitambo sanaHalafu maajabu beggars mnaowazungumzia wapi Nairobi tu na sio drc,Zambia ,Uganda na kadhalika inaonesha kuwa ni mpango wenu
The place he called pori is a reserved area, Ngong road forest. Inside is Ngong Race course, the only one in East Africa. Ukienda mbele ya hapo unaingia Karen estate, the best residential estate in East and central Africa. But how will he know all these when he lives hundreds of kilometers aways in Tandale?Nairobi imezingirwa na green spaces uiite pori ni sawa tu, ni sifa kwetu
Azampay na Azam media ni vitu viwili tofauti .Kaka unataka tuanze kuaibishana hapa kwenye battle ya Dar vs Nairobi?
Sitaki niende details zaidi nakupa tu kidogo
View attachment 3382178
7mil versus 5mil hala mapatoUkilinganisha na Tanzania inayopokea watalii wachache!
Kaka nimekuambia sitaki tena kuendelea. Nimekuonesha kidogo tu ili uunganishe dots. Kama hutaki kutumia ubongo wako mimi sina msaada tena kwako.Azampay na Azam media ni vitu viwili tofauti .
Pili kuwa na makao makuu Mauritius sio kwamba haiko chini ya Azam bali waliangalia sehemu ambako soko lilikuwa jepesi na kiukweli Mauritius soko limemkalia vizuri sana , sasa ulitaka aweke ofisi zake tz kwenye soko dogo.
Wewe ungetaka mjadala ukae vizuri ungeleta value of investment. Mfano Mimi nimekuletea ya bagamoyo tu ila umeshindwa kuleta value hata moja ya Metl .Kaka nimekuambia sitaki tena kuendelea. Nimekuonesha kidogo tu ili uunganishe dots. Kama hutaki kutumia ubongo wako mimi sina msaada tena kwako.
Tanzania ambayo inakubalisha game hunting. Alafu munadanganya you received more visitors yet kwa top 10 countries tumewashinda Kwa number of visitors.Ukilinganisha na Tanzania inayopokea watalii wachache!
Kaka:Wewe ungetaka mjadala ukae vizuri ungeleta value of investment. Mfano Mimi nimekuletea ya bagamoyo tu ila umeshindwa kuleta value hata moja ya Metl .
Mo ni mhuni tu.Wewe ungetaka mjadala ukae vizuri ungeleta value of investment. Mfano Mimi nimekuletea ya bagamoyo tu ila umeshindwa kuleta value hata moja ya Metl .
Domestic visitors ? Wakulipa gate fee ya 500kshTanzania ambayo inakubalisha game hunting. Alafu munadanganya you received more visitors yet kwa top 10 countries tumewashinda Kwa number of visitors.