ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
azam yuko mbali sana tena mbali sana kwenye uwekezaji na pesa kiujumla, mo anachofanya anajitngaza zaidi ili kuvutia investorsKama Azam ni mkubwa kuliko METL basi alipe kodi stahiki!
azam yuko mbali sana tena mbali sana kwenye uwekezaji na pesa kiujumla, mo anachofanya anajitngaza zaidi ili kuvutia investorsKama Azam ni mkubwa kuliko METL basi alipe kodi stahiki!
Haha kweli ushabiki umekuzid sasa media ana distribute ni ndugu.Azam Media vile vile ni Distributor wa kampuni ya Mauritius. 🤣 🤣 🤣 🤣
Mo ana petroleum company, nadhani inaitwa STAR kama sijasahu, ila shida ya biashara ya petrol margin yake ndogo sana.energy and petroleum ni kampuni gani anayomiliki mo? sisal processing ?
Kaka hii nimeshaiongelea hapo juu na maelezo marefu sanaenergy and petroleum ni kampuni gani anayomiliki mo? sisal processing ?
Kiuhalisia Israel kapigika sana na mbaya zaid kashampa kiburi Iran Cha kutengeneza nuclear na ataenda kuboresha mifumo yake ya ulinzi mpaka watashangaa. Ilikuwa ni Bora wasingekubali kabisa mpaka Kila kitu kiishe na kuingiza kijesh waikalie Iran ila kwa sasa hapa Israel inaenda kuumizwa sanaMbona kule gaza hao mabwana zako hawataki peace pamoja na kuwa na mateka wao kule ila kuhusu ceasefire hawataki,kwa iran siku 12 tu wameomba ceasefire 😄
Alipe kodi basi!azam yuko mbali sana tena mbali sana kwenye uwekezaji na pesa kiujumla, mo anachofanya anajitngaza zaidi ili kuvutia investors
😂😂😂😂😂Kaka dunia haiendeshwi kwa emotions. Inaendeshwa kwa facts. Hebu anza kwanza kuwaza nje ya box.
View attachment 3382128
Started in December 2010, Star Oil (T) Ltd isone of MeTL Group’s newest business ventures.Located near Dar es Salaam’s port at Kurasini,the company’s petroleum depots are connectedto four harbour-to-plant pipelines for bulkpetroleum product procurement direct from theKurasini Oil Jetty (KOJ) port into the company’sstorage tanks.
Star Oil’s strategic location allows for fastoffloading capacity, resulting in significantoperational savings. The facility has threeloading gantries, with a loading capacity of 5million litres per day, making Star Oil the mostefficient petroleum depot in Tanzania.
Star Oil’s storage facilities can store 38 million litres of petroleum products. Coupled withthe Group’s reliable and efficient distributionchannels, Star Oils supplies petroleum productsto petrol stations, manufacturing plants, andother bulk consumers of petroleum products,locally and in neighbouring Uganda, Rwanda, the Democratic Republic of Congo, Zambia, Malawi,and Burundi.
mm nimefanya kazi kwenye oil industry over 9 yrs yani hio kampuni hata top 15 haipoKaka hii nimeshaiongelea hapo juu na maelezo marefu sana
View attachment 3382143
View attachment 3382145
View attachment 3382146
Halafu yupo kwenye textile, ana-assemble bajaj na tractors pia!Unaijua MeTL Agro?
500+ TAFE tractors sold
200+ authorised service centres
100+ trained technicians
10,000+ farmers reached
Sawa kaka mtaalam wa mafuta. Tuambie sasa Biashara za Bhakresa zinazoingiza reveue kubwa kuzidi MeTL.😂😂😂😂😂
mm nimefanya kazi kwenye oil industry over 9 yrs yani hio kampuni hata top 15 haipo
kwenye kampuni kubwa za mafuta tanzania na hii i can assure u bro 😂😂😂
Hata Azam anayo united petroleumMo ana petroleum company, nadhanininaitwa STAR kama sijasahu, ila shida ya biashara ya petrol margin yake ndogo sana.
Il siyo tankers.
Ana yale matenki makubwa Kurasini.
bro mzungu anaogopa sana nucleur so wao wanajua tayar iran anayo nucleur hata juzi alipopiga america amepiga hewa wanakwambia mifumo yao ya nucleur iko over 200m underground ambayo hakuna bomb lolote linaweza fika na wana mufumo ya kutishia dunia so hata wao wanajua hawawez enda kichwa kichwaKiuhalisia Israel kapigika sana na mbaya zaid kashampa kiburi Iran Cha kutengeneza nuclear na ataenda kuboresha mifumo yake ya ulinzi mpaka watashangaa. Ilikuwa ni Bora wasingekubali kabisa mpaka Kila kitu kiishe na kuingiza kijesh waikalie Iran ila kwa sasa hapa Israel inaenda kuumizwa sana
#Mauritius#Haha kweli ushabiki umekuzid sasa media ana distribute ni ndugu.
Kwamba taarifa ya habari inatengenezwa Mauritania na kuja kuuzwa bongo🤣🤣🤣🤣
bro hata ww ukiwa na kampuni mfano umeajiri watu 500 do u think utaandik watu 500? si lazma uta tripple hio number ili kuonesha kwa customers na investors kua kampuni yako imeajiri manpower kubwa so kwneye business watu wanacheza na mindbusiness, ila sikulazmishi kuelewa kwasababu mm nimefanya kazi kwenye makampun makubwa so i knowSawa kaka mtaalam wa mafuta. Tuambie sasa Biashara za Bhakresa zinazoingiza reveue kubwa kuzidi MeTL.
MeTL inachangia 5% ya GDP ya Tanzania. Tuambie AZAM anachangia kiasi gani.
View attachment 3382151
YesHalafu yupo kwenye textile, ana-assemble bajaj na tractors pia!
Ile wanakiambia bomb linaingia mita 90 chini ya ardhi ila wapersian wanakuambia limejengwa nusu km kuanzia usawa wa ardhi hapo unabomwaje sasabro mzungu anaogopa sana nucleur so wao wanajua tayar iran anayo nucleur hata juzi alipopiga america amepiga hewa wanakwambia mifumo yao ya nucleur iko over 200m underground ambayo hakuna bomb lolote linaweza fika na wana mufumo ya kutishia dunia so hata wao wanajua hawawez enda kichwa kichwa
bajaj ni kampuni kutoka india inayomilikiwa na bajaj, alichokifanya mo kaenda kununua pikipiki kutoka bajaj akawa anazileta bongo anafanya assembly ndio anauza lakini bajaj sio kampuni ya mo😂😂 mind business akili tu broYes
MeTL BAJAJ
MeTL Bajaj was established in 2018 as a manufacturer oftwo-wheeler automobiles, popularly known in Tanzaniaas Bodabodas. In May 2021, it introduced three-wheelerautomobiles, commonly referred to as Bajajis.
Kaka hiyo Mauritania ni ya kwako usinilishe maneno ambayo sijayataja. Nimekuambia Mauritius unataka tuweke ushahidi hapa?Haha kweli ushabiki umekuzid sasa media ana distribute ni ndugu.
Kwamba taarifa ya habari inatengenezwa Mauritania na kuja kuuzwa bongo🤣🤣🤣🤣
nyuma ya iran kuna binaadamu mwenye akili sana anaitwa mrusi ndio tishio la dunia nzima hata technology ya china inatoka russiaIle wanakiambia bomb linaingia mita 90 chini ya ardhi ila wapersian wanakuambia limejengwa nusu km kuanzia usawa wa ardhi hapo unabomwaje sasa
Naona wanaYANGA sasa mmeungana. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hebu sasa muunganisheni GSM na Bhakresa washindane na MeTL.bajaj ni kampuni kutoka india inayomilikiwa na bajaj, alichokifanya mo kaenda kununua pikipiki kutoka bajaj akawa anazileta bongo anafanya assembly ndio anauza lakini bajaj sio kampuni ya mo😂😂 mind business akili tu bro