Ngoja tukuwekee mchanganuo wa ukweli na uache kudanganya watu:
Tangu ilipoanza SGR ya Kenya rasmi shughuli za usafirishaji mizigo tarehe 1 Januari 2018 hadi leo, tarehe 27 Juni 2025, SGR imekuwa ikifanya kazi kwa jumla ya takriban siku 2,369.
Taarifa zinaonyesha kuwa kuna kati ya treni 8 hadi 17 za mizigo zinazofanya kazi kila siku.
Kwa kuzingatia jumla ya tani zilizosafirishwa na idadi ya siku za kazi, wastani wa tani za mizigo zinazosafirishwa na SGR kwa siku ni takriban tani 12,663.
Wastani wa tani kwa kila treni moja ya mizigo ya SGR ni takriban tani 1,013.
In short, you are confirming that your sgr has no cargo business going to Mwanza from Dar port. Nyinyi mlijebga tu ilimradi ifike Mwanza, economic sense notwithstanding

Nilikuambia upunguze kiherehere hutaki kuskia, hii ni MGR train specifically dedicated kubeba chuma kutoka kwa kiwanda cha Devki in Kwale. Yani kiwanda ni kubwa hadi ikona train yake, najua huko bongoslum hamjazoea kitu kama hio. 😄
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.