Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,789
Wanatakiwa wachome tourvans na kupora tourists pia! Ruto ndipo atawaskiiza!
Lakini hutopata Wakenya wakimshukuru Rais kwa kuwapea chapati. Watachukua, wakule alafu wamwambie aache ujinga.Una ujinga mwingi si bora hao hata piki piki hawa vipi?
View attachment 3382832
Watu wa njaa chapoo huwatosha! Ruto leo hii akiamua agawe chapati za bure maandamano yanakwisha!Una ujinga mwingi si bora hao hata piki piki hawa vipi?
View attachment 3382832
Wakenya gani?Lakini hutopata Wakenya wakimshukuru Rais kwa kuwapea chapati. Watachukua, wakule alafu wamwambie aache ujinga.
Kenya sio Bongolala nchi ya machawa wee mwendazimu.Wakenya gani?
Siasa za Kenya ni siasa za ASS KISSERS wa TRIBAL KINGPINS.
Hata Wakale wanamuona Ruto kama mungu. Na Kamnunua Odinga na kuipa familia ya Odinga vyeo, kanunua misukule wote wa kijaluo nyuma ya Odinga.
Stupid
Kenya ni machawa sugu.Kenya sio Bongolala nchi ya machawa wee mwendazimu.
I'm not going to engage in an obvious argument with you moronKenya ni machawa sugu.
Ndio maana inamilikiwa na na mijitu michache ikiongozwa na Kenyatta family.
Mliobaki ni SLUM DWELLERS ASS KISSERS
Wewe huoni vile amekazana nimuonyeshe bank account details zangu?😂😂😂Eh? Unasema ni wale wa kuitisha details za watu alafu wanafagilia account?😂
Mugithi.I'm not going to engage in an obvious argument with you moron
Demu ya Kenya unanunulia sahani moja ya ugali na sukuma wiki unadinya.Una ujinga mwingi si bora hao hata piki piki hawa vipi?
View attachment 3382832
Which hood is this ?A random photo of mansions better than what Dayamondi is building
View attachment 3382419
Kutoka Longido😂😂😂Wewe huoni vile amekazana nimuonyeshe bank account details zangu?😂😂😂
Ndio mara ya Kwanza nimekutana na Maasai Scammer.
I think it's somewhere in Kiambu. So many wealthy planned estates getting constructed there currently Since Kenyatta Family and co. started disposing off their land. I supervised one of them for sometime before I left. That area between Tatu City and Thika is buzzling. When I get back I'll get a drone and do some videos.Which hood is this ?
Mbona hamsemagi hivi kwa konza, tako city, expressway, Talanta stadium, usahihi highway, almost all high rise buildings and apartments in naislum, all of these and many more none of them are owned by Kunyalanders ni foreigners tupu.CEO doesn't necessarily translate to ownership.
aisee na kugoma koote kulee! tumechapwa 2:0!Nawapongeza watani we will come back stronger next time. Tunageukia usajili na Champions League sasa.
