REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,602
- 11,528
Kumbe ni kitu wamezoea. 🤣 🤣 🤣
![]()
wameitrim hii picha ili tusiwezepata source yake. Hiyo ni Kenya.Hapo siyo Tanzania ni Kenya
Hii hapa ni "Fast Food" Huwezi pata migawa ya uswazi wanaandika Kingereza Tanzania.
Watu hawavai Chachacha Tanzania. Hii ni product juakali ya Bata huko Kenya.