Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A random photo of mansions better than what Dayamondi is building
FB_IMG_1750844841616.jpg
 
Transfer kwa nani?
Niuze bila sababu ya msingi?
Unaona namna unavyo ruka ruka.
Jibu swali Remitano na demo accounts wapi na wapi!
View attachment 3382420
In short mnatumia demo account, you can't tell me in the entire world you can't find a single person whom you can transfer the coins to. Maasai Scammer, very Primitive 😂😂🤡
 
In short mnatumia demo account, you can't tell me in the entire world you can't find a single person whom you can transfer the coins to. Maasai Scammer, very Primitive 😂😂🤡
Enyewe govi ni govi.
Jibu swali, Remitano na demo accounts wapi na wapi?
Remitano ni P2P crypto currency exchange for buying and selling crypto currency.
IMG_4428.jpeg
 
Imewachukua almost 8 years kutafuta funding tu na bado kupata mpaka sasa, mmeamua kwenda kujipachika kwenye panda bonds ya china na bado hata uhakika wa kupata hapo, hata baada ya kupata itawachukua miaka mingine 8 kukamilisha hiyo project, meanwhile kule mwanza Iko hivi
Then kule kigoma Iko hivi

View: https://youtu.be/QB-sV8chfIA?si=JYJvKMNDvdZCdRF3


Hata mkisema mjenge usiku na mchana na sisi tujenge kwa masaa mawili tu kwa siku bado tutamaliza kabla yenu , kumbuka tunajengabzaid ya km 2400 wakati nyinyi km 950 zinawatoa jasho

Hawa jamaa kanchi kadogo lakini wamefeli kufikisha reli mpakani mwa uganda wangekuwa na nchi kubwa kama Tz si ingekuwa majanga matupu?
 
Back
Top Bottom